Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

Nikujibu zaidi ya niliyoandika na kuweka hotuba zote mbili zinazojibu swali lako, nanukuu Huoni kama Raisi anawachanganya waumini wa KKKT kwa kuwasifu kwamba hawavai Barakoa. Kwenye nyumba ya Mungu hakuna linaloshindikana. Wanamwamini Mungu, wakiwa kanisani, ndio hao hawakuvaa barakoa kwa sababu kila mwumini anajisalimisha kimwili na kiroho kwake BWANA. Na Rais amerejea masomo kadhaa kutoka katika Biblia, kitabu kitakatifu.
Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?9

Wewe mtazamo wako ukoje kwenye hili
 
Leo Wakati Raisi analihutubia Kanisa aliwasifu sana waumini kwa kutovaa Barakoa

Wakati ukienda kwenye idara za Serikali huingii mpaka uwe na Barakoa

Sasa tuyafuate ya nani tuyaache ya nani
Inahitajika akili kumuelewa Rais.
Kuna main theme na vikorombwezo. Kamata main theme, vinginevyo utachanganyikiwa na kupotosha.

Rais amesisitiza mara nyingi hata leo, tufuate maelekezo ya serikali ya jinsi ya kujikinga na Corona. Serikali anayoiongoza kupitia kamati zake hasa ile ya WM imetoa muongozo wa kuvaa barakoa. Sasa Kama serikali ya Rais imepitisha muongozo na ikaenda mbali zaidi hadi ku enforce operationalization kwa kulazimisha hamna kuingia ofisi za umma bila barakoa, au hata kupanda daladala bila barakoa, bado tu auelewi msimamo wake? Asipotaka barakoa atatoa tangazo la kusitisha watu kuvaa barakoa.

Mnashindwa kuelewa muktadha wa kinachoongelewa. Point yake ilikuwa watu muondoe hofu, corona siyo tishio kama wenye agenda mbaya wanavyotishia, na kwamba corona maambukizi yanapungua. Ndiyo maana yeye, hata mchungaji wamethubutu kutovaa barakoa na bado maisha yakaendelea.
 
Kadiri siku zinavyoenda unazidi kuwa *****, unasema hutaji chama, lakini kwa upuuzi ulionao unataja. Usipoangalia lazima ubebe mimba hapa jf.
Kamanda matusi hayatakusaidia. Kadri siku zinavyoenda unakuwa mtu wa kutukana matusi. Au yale madole ya Segerea bado yanakuwasha?
 
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.

Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.

Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.

Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.

Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.

Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.

Sio kila mtu mwenye mawazo tofauti no mwombea mabaya taifa!. Mfano hapa USA watu wanaandamana, wanamtukana make raisi lakini ni tofauti za fikra. Kuna ushahidi can't kwamba wewe na wenzako mnapenda nchi zaidi? Fikra za kijinga sana
 
Na Kenya, Uganda na Rwanda waliofanya lockdown nako kuna Chadema!! Kama huwezi kukubali mawazo tofauti jiulize sana inawezekana tatizo ni were so wao. Fikiria vizuri inawezakana tatizo ni wewe. Utashangaa kila siku. Vilevile Chadema ni Chama lakini Hawa ni watu binafsi
 
Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?

Wewe mtazamo wako ukoje kwenye hili

Kama umemsikiliza vizuri Rais hajesema waumini kwenye nyumba za ibada wasivae barakoa, ni tafsiri yako hiyo.

Mimi ni mwumini wa:

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAOENDAO
 
[QsaUOTE="Kamundu, post: 35394733, member: 643"]
Na Kenya, Uganda na Rwanda waliofanya lockdown nako kuna Chadema!!
[/QUOTE]
Sasa swali gani hilo?
 
Vikorombwezo kwenye mambo ya msingi?!
Unarudia kosa lile lile nililokuelimisha kupitia post yangu, kukimbilia 'vikorombwezo'!!!
Badala ya kuitafsiri post yangu kwa ujumla wake, umekimbilia neno vikorombwezo!
 
Sio kila mtu mwenye mawazo tofauti no mwombea mabaya taifa!. Mfano hapa USA watu wanaandamana, wanamtukana make raisi lakini ni tofauti za fikra. Kuna ushahidi can't kwamba wewe na wenzako mnapenda nchi zaidi? Fikra za kijinga sana
Wewe na Usa yenu kaa kimya.
 
Unakumbuka bwana yule mzee Miga, lisu alidai wazungu wa Barick watatushitaki Miga..tutalipa mabilioni..sijui alikuwa anawaza nn lisu huyu.

Kuna yule dada akasema Tanzania kuna ugonjwa wa ZIKA..Magu akala kichwa...chadema wakapondaaaaa km kawaida yao..ZIKA IKAFA KIFO CHA MIGA...

ZIto na Lisu walikuja na balaa la njaa..tukambiwa watu wataanza kufa kwasasabu ya njaa.. Magu akasema hamna njaaa..watu wachape kazi. Njaa nayo ikafa kifo cha MIGA.

CHADEMA NA WAKINA ZITO NI WAPINZANI UCHWALA..NDIYO MAANA WAKIPEWA VYEO SERIKALINI WANAKUWA WANOKO KULIKO HATA WANACCM...MFANO WAITARA. KWAHYO hata Korona..tuendelee kujitunza na kuchapa kazi. Rais yupo sahihi sana.

Magu 2020 unapita km umeme.
 
Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?9

Wewe mtazamo wako ukoje kwenye hili
Rais hajasema watu wasivae barakoa. Ila aliseme hali si mbaya sana ndio maana hata kanisani hawajavaa. Elewa maambukizi kule kwenu katoro sio kama Dsm.
 
Unarudia kosa lile lile nililokuelimisha kupitia post yangu, kukimbilia 'vikorombwezo'!!!
Badala ya kuitafsiri post yangu kwa ujumla wake, umekimbilia neno vikorombwezo!
Ndicho nilichokiona kikimake sense kwamba kilikuwa ni Kikorombwezo
 
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.

Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.

Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.

Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.

Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.

Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.
Mkuu kiukweli niliposoma nikafika aya ya nne ya uzi wako nikakupa like ,kiukweli Mungu atusaidie tufanikiwe tunwaahinde hao wanaojiinua kuwa maadui.
 
Ndio maana nasema Raisi alikuwa anaongea na kanisa na si Taifa.
 
Back
Top Bottom