Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?9Nikujibu zaidi ya niliyoandika na kuweka hotuba zote mbili zinazojibu swali lako, nanukuu Huoni kama Raisi anawachanganya waumini wa KKKT kwa kuwasifu kwamba hawavai Barakoa. Kwenye nyumba ya Mungu hakuna linaloshindikana. Wanamwamini Mungu, wakiwa kanisani, ndio hao hawakuvaa barakoa kwa sababu kila mwumini anajisalimisha kimwili na kiroho kwake BWANA. Na Rais amerejea masomo kadhaa kutoka katika Biblia, kitabu kitakatifu.
Inahitajika akili kumuelewa Rais.Leo Wakati Raisi analihutubia Kanisa aliwasifu sana waumini kwa kutovaa Barakoa
Wakati ukienda kwenye idara za Serikali huingii mpaka uwe na Barakoa
Sasa tuyafuate ya nani tuyaache ya nani
Kamanda matusi hayatakusaidia. Kadri siku zinavyoenda unakuwa mtu wa kutukana matusi. Au yale madole ya Segerea bado yanakuwasha?Kadiri siku zinavyoenda unazidi kuwa *****, unasema hutaji chama, lakini kwa upuuzi ulionao unataja. Usipoangalia lazima ubebe mimba hapa jf.
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.
Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.
Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.
Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.
Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.
Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.

Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?
Wewe mtazamo wako ukoje kwenye hili
Vikorombwezo kwenye mambo ya msingi?!vikorombwezo
Unarudia kosa lile lile nililokuelimisha kupitia post yangu, kukimbilia 'vikorombwezo'!!!Vikorombwezo kwenye mambo ya msingi?!
Wewe na Usa yenu kaa kimya.Sio kila mtu mwenye mawazo tofauti no mwombea mabaya taifa!. Mfano hapa USA watu wanaandamana, wanamtukana make raisi lakini ni tofauti za fikra. Kuna ushahidi can't kwamba wewe na wenzako mnapenda nchi zaidi? Fikra za kijinga sana
Upuuzi wakati hamlitakii mema taifa letu.Hoja hujibiwa kwa hoja, hoja ya kipuuzi tunaimwagia kinyesi.
Rais hajasema watu wasivae barakoa. Ila aliseme hali si mbaya sana ndio maana hata kanisani hawajavaa. Elewa maambukizi kule kwenu katoro sio kama Dsm.Kwa hiyo Raisi anapendekeza Waumini wote hapa Tanzania wasivae Barakoa wakiwa kwenye nyumba za ibada?9
Wewe mtazamo wako ukoje kwenye hili
Ndicho nilichokiona kikimake sense kwamba kilikuwa ni KikorombwezoUnarudia kosa lile lile nililokuelimisha kupitia post yangu, kukimbilia 'vikorombwezo'!!!
Badala ya kuitafsiri post yangu kwa ujumla wake, umekimbilia neno vikorombwezo!
Sasa Raisi Magufuli ni Raisi wa wanakatolo au wa Watanzania?Rais hajasema watu wasivae barakoa. Ila aliseme hali si mbaya sana ndio maana hata kanisani hawajavaa. Elewa maambukizi kule kwenu katoro sio kama Dsm.
Mkuu kiukweli niliposoma nikafika aya ya nne ya uzi wako nikakupa like ,kiukweli Mungu atusaidie tufanikiwe tunwaahinde hao wanaojiinua kuwa maadui.Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.
Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.
Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.
Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.
Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.
Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.
Ila hakusema wasivae,bali maambukizi sio makali kama mnavyopotosha ndio maana hawana hofu ya kuvaa mavitambaa yenu.Ndio maana nasema Raisi alikuwa anaongea na kanisa na si Taifa.
Hiyo speech kwanini isiwe edited au hivi kitengo cha kushughulikia hakipo?Ila hakusema wasivae,bali maambukizi sio makali kama mnavyopotosha ndio maana hawana hofu ya kuvaa mavitambaa yenu.
Ili iweje? Watu hawana hofu kawachapa na mil 11Hiyo speech kwanini isiwe edited au hivi kitengo cha kushughulikia hakipo?