Ila sintofahamu kubwa inaendelea Nchini wananchi hawajui washike lipi au wafanye niniIli iweje? Watu hawana hofu kawachapa na mil 11
Hivi ni kwa nini hawa watu wanaiombea nchi hali hiyo , ili hali wanataka kuja kuongoza nchi??Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.
Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni ndoto. Juzi ziara ya waziri mkuu Kassim Majaliwa imewaumbua. Maana mradi unaenda vizuri. Pamoja na kuchelewa kwa sababu za mazingira na mvua 77.9% sio kidogo.
Ukaja mradi wa JNHPP hapo wakaleta maneno mara unaharibu mazingira,mara pesa zitatoka wapi? Sasa mradi unaenda kwa kasi na kwa namna unavyotekelezwa lazima utakamilika kwa wakati.Maana ziara ya waziri mkuu pia imewaumbua.
Limekuja janga la Corona virus bado wakawa wanaliombea taifa letu mabaya. Wanataka watu wafe kwa wingi kama tulivyoshuhudia huko Usa na kwingineko.
Je, wao wangefaidika na nini watu wengi wakifa? Mwenyekiti wao anadiriki kusema waliokufa ni maelfu,bila hata kuwa na ushahidi. Hii ni baadhi tu ya mifano.
Lakini wao kusudi lao kubwa ni watu wengi wafe ili ionekane serikali imefeli kushughulikia hili janga. Lakini Mungu kawaumbua na sasa wataona aibu. Hivi kwani nyie Chadema mkikubali kufa kilaini kuna shida gani? Maana chama chenu kimeshakufa. Hakuna haja ya kuliombea mabaya Taifa letu.
Kuuliza kwani hapa kuna mtu kavaa mavitambaa? Ndio kusema msivae? Lingekuwa lilejamaa lako la Segese lisingechangia hata sh mia. Limezaliwa lilugumya.Ila hakusema wasivae,bali maambukizi sio makali kama mnavyopotosha ndio maana hawana hofu ya kuvaa mavitambaa yenu.
Haaaaaaa.Ila sintofahamu kubwa inaendelea Nchini wananchi hawajui washike lipi au wafanye nini
Yaani Magufuli anawakoroga wananchi vibaya sana
Akishawakoroga anawapiga na mabulungutu
Unajikoroga wewe mwenyewe kwa kutotaka/ kwakutokuwa mmuelewa na hii ndio inajionyesha kule kwenye fixed cost ile licence ya Usafiri kwenda Rwanda na hujui utaifidia vipiIla sintofahamu kubwa inaendelea Nchini wananchi hawajui washike lipi au wafanye nini
Yaani Magufuli anawakoroga wananchi vibaya sana
Akishawakoroga anawapiga na mabulungutu
Hakuna sintofahamu,maambukizi yamepungua.Ila sintofahamu kubwa inaendelea Nchini wananchi hawajui washike lipi au wafanye nini
Yaani Magufuli anawakoroga wananchi vibaya sana
Akishawakoroga anawapiga na mabulungutu
Wanamfuata Kamanda wa Makamanda kwa kila anachosema ni ndiyooo, isipokuwa wapiga kura wa jimbo lake.Hivi ni kwa nini hawa watu wanaiombea nchi hali hiyo , ili hali wanataka kuja kuongoza nchi??
Sasa kwa kuwa na mawazo hayo hasi kwa nchi , ni kweli watakuwa na tija kwa nchi au nia yao ni mifuko yao???
Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Raisi amesema Korona imepungua sana sana kwa sasa ila idadi kubwa ya wanaokufa ni kwa sababu ya HofuHakuna sintofahamu,maambukizi yamepungua.
Wewe na Usa yenu kaa kimya.
Magufuli is a country bumpkin.Leo Wakati Raisi analihutubia Kanisa aliwasifu sana waumini kwa kutovaa Barakoa
Wakati ukienda kwenye idara za Serikali huingii mpaka uwe na Barakoa
Sasa tuyafuate ya nani tuyaache ya nani
Hofu=stroke+blood pressureRaisi amesema Korona imepungua sana sana kwa sasa ila idadi kubwa ya wanaokufa ni kwa sababu ya Hofu
Swali langu ni hivi hizo Death certificates zinaandikwa cause of death ni Hofu?
Huoni kama Raisi anawachanganya waumini wa KKKT kwa kuwasifu kwamba hawavai Barakoa