Kwani kufunguliwa kesi ndio kushindwa au kuzama? Sasa unataka nchi tuwe watiifu kwa dhuluma kwa kua tutashitakiwa tukichukua hatua kujinasua? Kushitakiwa ni jambo linaweza kutokea kufuatana na hao dhulumati wakiona uwezekano wa kushinda. Nchi ikiwa na wanasheria wa ovyo au wapenda rushwa utashindwa hata kama una haki.
..haya mambo hayaendeshwi kwa emotions, yanahitaji maamuzi yanayopima faida na hasara. Sasa katika hili Magufuli alidanganywa na Kabudi na Kilangi matokeo yake nchi imeingia hasara kubwa zaidi.