Kwani kufunguliwa kesi ndio kushindwa au kuzama? Sasa unataka nchi tuwe watiifu kwa dhuluma kwa kua tutashitakiwa tukichukua hatua kujinasua? Kushitakiwa ni jambo linaweza kutokea kufuatana na hao dhulumati wakiona uwezekano wa kushinda. Nchi ikiwa na wanasheria wa ovyo au wapenda rushwa utashindwa hata kama una haki.
Usiongee kama Kasuku,be specific with evidence Kabudi alimdanganya Magufuli kwenye issue ipi.
Usisahau pia Katiba yetu inasema Rais halazimiki kufuata ushauri utakaotolewa na mtu yoyote,kama alimshauri hakusilizwa Je!
Huyo niliyem quote anasema Bwawa linahujumiwa na January ndio nikauliza why asihujumu gesi inayofua 70% ya umeme wa Tanzania aje kuhangaika na umeme wa Maji?Sijui hata kama unatuelewa. Januari alipue mabomba ya gesi kwa umeme ya kazi gani? Kwani yeye hataki huo uwaziri wa nishati? Mtu ni mpigaji atapigaje akibomoa?🤣. Simumesikia wakipanga ununuzi kufuru. Mita za papo kwa papo, kurepea mtandao wa usambazaji bilioni 11 etc etc tenda kibao... Huku umeme hakuna na bei na maharage wake wamesema hawashushi kukidhi wasia wa magufuli.🏃🏃
JPM mwanasiasa tu Ile uwekezaji wa trillion 6 hauwezi ukashusha tu bei wakati operating costs ni kubwa na mikopo lazima ilipwe. Hata SGR nauli ni bei kubwa, bei hushuka baada ya mtaji kurudi hakuna shortcut hizo alizowadanganya JPM.Huku umeme hakuna na bei na maharage wake wamesema hawashushi kukidhi wasia wa magufuli
Ndio maana nikauliza nyie mbona hamsemi NIDA inahujumiwa na waziri wa mambo ya ndani au mabeberu? Incompetence Iko ofisi zote za serikali kuanzia TTCL mpaka Bandari hadi mnataka mkodishe sekta binafsi.Kwa nini iwezekane vitambulisho vya mpiga kura inawezekana kuchapwa na kupewa wote umri miaka 18 waliyojiandikisha kwa muda mfupi ila watu hao hao ishindikane kuwapa vitambulisho vya taifa miaka mingi tu imepita sasa. Ukweli kuna watu wananufaika na kutokua na vitambulisho watu
Kuna njia nyingi za kudhibiti mikataba mibovu kwa kutumia akili.Hakuna alichomponza. Mikataba illiingiwa na Kikwete,mikataba ya hovyo sana. Ni bora kuikata kuliko kuendelea nayo.
Tungeendelea nayo tungelipa zaidi ya hizo pesa.
Wewe ungekuwa kiongozi wa serikali, mzalendo ungeendelea na hii mikataba, Nikupe mfano gesi kusini, bandari, misitu, mikataba 30 unajua vigezo vyake?
Ukiingia serikalini kwanini usivunje mikataba mibovu?
Atcl, Ttcl zilishamili kipindi Cha magufuli .Hivi kipi ambacho serikali ya CCM inakiweza? Kwanini Kila mkifeli lawama ni kwa mabeberu au "washauri wa Rais" yaani hakunaga failure yoyote mnakubali ni udhaifu wenu.
Mbona TTCL imekufa ni mabeberu? Mbona ATCL ni hasara Kila siku ni mabeberu? Mbona mwendokasi imefeli kuwa na ufanisi nao ni mabeberu? Why uzembe mfanye wenyewe alafu msingizie mabeberu?
Nachosema hapa kama wazungu au huyo January angetaka kuhujumu umeme basi mabomba ya gesi yangelipuliwa maana umeme wa Gesi ndio unazalisha 70% ya umeme wa Tanzania. Sasa why mtu ahujumu umeme wa Maji ilihali wa gesi ambao ndio tunategemea usiguswe?
Tuache propaganda na CCM mjifunze kuwajibika kwa failures zenu.
Na wewe uligawiwa?Hayati Magufuli yule sliyekuwa akigawa pesa barabarani kama njugu! Yeye mbona alikuwa mpigaji.