Kila dikteta huwa na mtu wake anaetekeleza mipango ya kimafia

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Hakuna jipya chini ya jua.

Tangu enzi na enzi, kila dikteta lazma awe na mtu wa kutekeleza mipango ya kimafia au unyama.

Mara nyingi watu hawa huwa hawawajibishwi na mamlaka zozote za kiserikali bali tu kwa wale wanaowatuma.

Idd Amin alikuwa na Brigedia Jenerali Isaac Malyamungu.
Huyu alikuwa anaona ufahari kuua kuliko jambo lolote. Akishaua anaenda kutupa maiti mto kagera.

Saddam Hussein alikuwa na Chemical Ali, wakurdi hawawezi msahau huyu jamaa. Aliwaua sana kwa silaha za kemikali.

Ukienda kule Chile, enzi ya utawala wa dikteta Augusto Pinochet unamkuta Manuel Contreras. Huyu bhana aliteka na kuwaua sana Wachile bila woga. Alitumia vibaya nafasi yake ya Mkuu wa Usalama.

Pale Libya kwa Gaddafi kulikuwa na Abdullah Senussi huyu aliogopwa kuliko hata Gaddafi mwenyewe. Kukupoteza wewe na ukoo wako kwake lilikuwa jambo la kawaida tu kwa kila siku.

Ukija kwa babu Museveni yupo na kijana wake General Muhoozi. Huyu ukikohoa tu na kumsema vibaya baba yake, basi kesho yake anaweza akakuletea bataliani nzima nyumbani kwako. Anaandaliwa kuwa Rais.

List ni ndefu sana, hata haya yanayotokea ni marudio ya mambo ambayo yalishatokea zamani, huwa pia yanafika kikomo siku moja.
 
Hivi Sabaya siku hizi yuko wapi? Amepotea sana
 
Umelenga nini kueleza yote haya?

Kuna jambo linalofanana na hili linalofanyika nchini petu limekugusa?
 
Back
Top Bottom