kabsa ziamibuka drama nyingi ila watu wameshikilia bomba dah sio poa mpaka mwampossa kafunga coment ujue hatariii 😀😁Hadi kieleweke
hakuna kupoa
Mwendo ndio huo huo mapake kieleweke, nasikia chama cha mama wameandaa tamthilia ya kina diamond na zuchu na kina jux... Itakayo Arusha kupitia mitandao... Ili kuwa keep busy wananchi wasahau utekaji na tundu 😁😁kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram
huu mwaka wa moto sana
endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
Hapa sio salamadah noma 🥲🥲🥲 tutafika tu
imabd tushikilie hapo hapo haki itendekeMwendo ndio huo huo mapake kieleweke, nasikia chama cha mama wameandaa tamthilia ya kina diamond na zuchu na kina jux... Itakayo Arusha kupitia mitandao... Ili kuwa keep busy wananchi wasahau utekaji na tundu 😁😁
Sasa akifanya hivo comments ziwe hivo hivo...no election no reform😂😂
Mange huyo katoa ubuyu🙄
Kaamua.Bi mkubwa kahamua kuurejesha upinzani ulikuwa ushakufa
sawa embu nenda kacheze chura uwanituna vijana wa ovyo sana
Kama IG wameelewa, nyinyi humu mnaojiita GT mnashindwa nini kuacha kuchangia nyuzi za machawa humu, au kuwaandikia tu NRNE?
NO REFORMS NO ELECTION
Hahahaaa naona Dotto Njeni rafiki yangu mwana chelsea na aliyekuwa mwanaharakati mwenzangu wa CDM pale Mpanda kabla mambo hayajabadilika akipiga Spana ya NO reform no election huko Instagram.kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram
huu mwaka wa moto sana
endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥