Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

Mwendo ndio huo huo mapake kieleweke, nasikia chama cha mama wameandaa tamthilia ya kina diamond na zuchu na kina jux... Itakayo Arusha kupitia mitandao... Ili kuwa keep busy wananchi wasahau utekaji na tundu 😁😁
Sasa akifanya hivo comments ziwe hivo hivo...no election no reform😂😂

Mange huyo katoa ubuyu🙄
 
imabd tushikilie hapo hapo haki itendeke
 
Kama IG wameelewa, nyinyi humu mnaojiita GT mnashindwa nini kuacha kuchangia nyuzi za machawa humu, au kuwaandikia tu NRNE?

NO REFORMS NO ELECTION
 
Hahahaaa naona Dotto Njeni rafiki yangu mwana chelsea na aliyekuwa mwanaharakati mwenzangu wa CDM pale Mpanda kabla mambo hayajabadilika akipiga Spana ya NO reform no election huko Instagram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…