Kila jambo la aibu kwa mtu wa bara, ni jambo la kawaida sana kwa mtu wa pwani

Kila jambo la aibu kwa mtu wa bara, ni jambo la kawaida sana kwa mtu wa pwani

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa , haoni Noma yoyote ,mama anakulengeshea mwanayewa kike wa kumzaa na haoni tabu nk hizi mambo huzikuti bara, leo kikwete rais wa nchi mstafu haoni Nomaa yoyote mke na mtoto wake kuwa wabunge na kupitishwa bila kupingwa je nyerere, Magufuli wangeweza fany haya? Ukienda kiundani sana ujinga wote wanaopenda kufanya una mahusiano na uvivu kuogopa kufanya kazi
 
Mwaka jana dec mitaa ya ufukweni hivi zenji, nlipishana na kundi la vijana wote wa kiume kama nane hivi, wanatoka kucheza mpira, mmoja akaongea tena kwa nguvu "tuondoke tukaf**ane sasa" nilishtuka nikamgeukia kwa mshangao cha ajabu watu wengine pembeni hakuna hata mmoja alieshtuka.

Watu wa pwani hawajaumbiwa aibu kabisa hawana aibu na wana vitu vya ajabu.
 
Bahati mbaya pia hata watu wa Pwani nao wanawashangaa watu wa bara na kuwaona wa ajabu.

Wazungu, Wachina, Waarabu nk nao wanatuona WaAfrica woote pumbavu bado hatujastaarabika tu.

ndani ya mitaa ya Khost -Afghanistan.
 
Mwaka jana dec mitaa ya ufukweni hivi zenji, nlipishana na kundi la vijana wote wa kiume kama nane hivi, wanatoka kucheza mpira, mmoja akaongea tena kwa nguvu "tuondoke tukaf**ane sasa" nilishtuka nikamgeukia kwa mshangao cha ajabu watu wengine pembeni hakuna hata mmoja alieshtuka.

Watu wa pwani hawajaumbiwa aibu kabisa hawana aibu na wana vitu vya ajabu.
Mimi sasa kuishi bara najihisi nimestaarabika mno .
Ndiyo maana hata kusema nakupenda Evelyn Salt siwezi tena nazunguka miaka nenda rudi na maneno ya ulimbo
 
Pwani acha kabisa ni nyokoooo 😁😁😁😁
For the first nilipofika pwani Nika kutana na mambo ya ajabu vibaya sana , Nilikuwa naishi Kijitonyama lakini maskani yangu nashinda mwananyama Kwa mama zackaria basi bwana siku hiyo katika pita pita zangu nikakuta Kuna sehemu Kuna kigoro halafu Kuna meza imewekwa kati Kilicho nishangaza zaidi juu ya meza kapanda mwanaume kajichubua kalegea kama Mwanamke kumbe bwana ni shoga wakati huo nilikuwa sijui shiga ana fananaje 😁😁😁😁
Mwenyewe
Ana lingishia lingishia zawadi wenyewe wanaita sijui ndio kusasambua unaambiwa watu wamejazana kibao halafu wanashangilia kwao ilikuwa normal tu
 
Mwaka jana dec mitaa ya ufukweni hivi zenji, nlipishana na kundi la vijana wote wa kiume kama nane hivi, wanatoka kucheza mpira, mmoja akaongea tena kwa nguvu "tuondoke tukaf**ane sasa" nilishtuka nikamgeukia kwa mshangao cha ajabu watu wengine pembeni hakuna hata mmoja alieshtuka.

Watu wa pwani hawajaumbiwa aibu kabisa hawana aibu na wana vitu vya ajabu.
Duh!Mpaka muda huu mimba zao zitakuwa na ukubwa wa kutosha sana.
 
Duh!Mpaka muda huu mimba zao zitakuwa na ukubwa wa kutosha sana.

Wanapenda sana kulombana (wenyewe wanita hivyo). Halafu anaongea mbele za watoto. Anamtukana mtoto wake matusi ya kiungo cha uzazi cha mama wa mtoto wake. Kitu ambacho mimi hata nikiwa faraghani au hata kama watu hawanisikii siwezi kusema. Hivi status yao kwenye ukimwi ikojee? Ukizingatia arv zimeadimika
 
Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa , haoni Noma yoyote ,mama anakulengeshea mwanayewa kike wa kumzaa na haoni tabu nk hizi mambo huzikuti bara, leo kikwete rais wa nchi mstafu haoni Nomaa yoyote mke na mtoto wake kuwa wabunge na kupitishwa bila kupingwa je nyerere, Magufuli wangeweza fany haya?
We mshamba Magu ndio mtu wa hovyo kutokea nchi hii. Wa kwanza kumteua Salma Rashid Kikwete siyo Magu? Au umejiondoa ufahamu!
 
Ni kweli kabisa ata wahaya wamejaa sana pwani ambako ni Dsm aya aibu hawana hawa watu wa pwani.
 
Back
Top Bottom