Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

Kwa nini ulichekewa kupata kipaimara?Nakuuliza kama mlei mkongwe.
Kipindi nikiwa form 4 nilikuwa nimemaliza Kila mafunzo hivo Ili tupewe cheti Cha TYCS Ilikuwa lazima tupate kipaimara kwanza. Siku askofu amekuja parokiani Kwa ajiri ya kutupia kipaimara nilkuwa nikiwa mgonjwa nipo kcmc moshi nimelazwa baada ya kutoka kule na kumaliza shule ujana ukachukua nafasi Hadi naona na kufunga ndoa ni jitihafa za wazazi tu kuwa lazima tufunge ndoa maana wangekufungiwa kupata sacrament.

Kwa maelezo hayo mkuu nadhan umenisoma
 
Mungu wa bendera wao jtano na ijumaa Hadi jpili kero tupu
Wewe siku moja kwetu kuanzia alhamisi ijuma juma mosi hadi jpili wanakesha loh!!! Mpaka unatamani uhame sehemu, ila tu kwasbb ni dini za mihemuko hawawezi kukaa miaka mingi wakipata mtaji watasepa tu, hilo ndo linatupa moyo.
 
Vema na pole kwa kuumwa.Mungu ni mwema ingawa leo haujaenda kanisani kama mimi.
 
mungu wa walokole ni kiziwi,bila mikelele haswa hasikii.
 
Unaanzake kwenda kuishi karibu na Makanisa (ya masafa mafupi) au Misikiti au Bar au Soko?
 
Nakwambia mankinds search for God ni balaaa tupu. Ama kweli dini za uwongo zitakuwa nyingi sana na hao wanaomuabudu mungu kwa kuwapa kero wenzao naona tayari wanaenda kinyume na yale wanayofundisha.
 
Hao watu Huwa Wanatetewa dini za Wazungu kuliko kujitetea wao 😂😂😂😂

Wengine wanamtetea Mungu na Yesu kana kwamba ameomba wamtetee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…