Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

Kuna mwenzio juzi kaja na nyuzi ya kukerwa na adhana ya asubuhi kumbe ata huku nako pia
Hlf ukiangalia adhana ya alfajiri inakuamsha ujiandae na pirika zako
Halafu adhana ni muda mfupi sana lkn wezentu wanakesha Hadi usiku wa manane aisee
 
Umetiririka vyema sana mkuu

Mimi nimejenga mwaka 2016 hapa kuwa na makanisa haya isipokuwa la wasabato tu nalo lipo mbali kidogo Hawa wamekuja Hivi karibuni daah shida tupu Yani.
 
Mkuu naona una washwa muwasho ambao sijawahi ona katika Dunia hii.

Wacha nikuache tu maana hujui lolote kuhusu Mimi na huenda house allowance ninayolipwq Mimi Kila mwezi wewe ndo basic salary Yako au ndo full malipo Yako yote.

Naomba nikuache mkuu
Una j
Hauko serious na usingizi , watu wanalala kweny mkesha , watu wanalala na mbuzi hao wanatafuna usiku mzika ...Yaani kelele mtu anapiga kweny eneo lake wewe unapata tabu aiseee.
Waafrika hamjastaarabika. Unafunga spika kubw saa sita usiku halafu unaona Sawa. Wewe noise pollution hujawahi sikia?
 
Jua yakuwa hatufanani mkuu. Vilevile tuna Watoto wanahitaji utulivu sana Wakati wa usiku. Tunateseka sana basi tu.
 
Bila shaka mtoa mada anaishi uswazi sana ndio makanisa yanakopatikana mtoa mada anakaza fuvu kujikuta ana akili sana hataki neema ya Mungu imfikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…