Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

Acha ushamba
 
Kwa hiyo walokole kumwabudu Mungu wao kwako ni kelele siyo?
 
Utashangaa jirani yako linajengwa kanisa au msikiti. Unafikiri haya makanisa yote na misikiti ni maeneo rasmi? Wameamua tu

Yes kwa "SKWATA" lolote linatokea ila Surveyed Plots huwezi kukuta hayo mambo.
 

Kama hapajapimwa hauwezi kumkata mwinjilist asifungue kanisa ,ana haki kama wewe ulivyokuwa na haki ya kununua kiwanja...Kwa kukufahamisha tu ni kwamba viwanja vilivyopimwa ni bei rahisi kuliko hivyo vya skwata.

20 kwa 20 ni sawa na sqm 225 ambayo kama imepimwa serikali inakuuzia Tsh 2.4m kwa DAR.
 
Ungekuwa na ujanja huo usingelileta hapa. Wenye pesa hawana kelele
 
Yes kwa "SKWATA" lolote linatokea ila Surveyed Plots huwezi kukuta hayo mambo.
Mkuu. Bongoyo road hapo Oysterbay kumejengwa Msikiti mbele ya nyumba zile alizogawa Magu. Unataka kusema pale ni skwata au kulikuwa na kiwanja cha msikiti? Hadi coco Beach kuna msikiti wa ghorofa unajengwa huko nako ni skwata? Nchi hii hakuna dhamana ya mipango miji chochote kinaweza kujengwa popote.
 
Hii ni nchi ya kiquma sana. Uhuru wa kuabudu huo
 

1.MAKAZI ONLY
2.MAKAZI NA BIASHARA
3.HUDUMA ZA JAMII.

Sijajua hapo unapozungumzia ni category gani.
 
Mikakati ya kuvuna wa teja ni mingi.
Wateja wa kumtajirisha mtumishi.
sio wateja wa kwenda mbinguni.
 
Kwano kuna Jumamosi ya kuamkia Jumatatu?
 
Nenda Kwa mwenyeki wa mtaa wako hata yeye atakuwa anapata hiyo kero
 
My family is still suffering for the for past five years that too in a residential area!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…