Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

Kuwaumiza chadema
Kuiumiza, hilo haina shaka wanauimiza na walishaiumiza sana CHADEMA....

Lakini kwa kadiri wanavyoiumiza, ndivyo kwa kasi hiyo hiyo kinaendelea kupaa na kupendwa na wananchi kiasi cha wanaokiumiza wanaingiwa na hofu kuu na kujiuliza, "hawa ni watu wa aina gani.."

Lakini pia, Sioni kama wanaweza kwenda zaidi ya hapo ikiwemo linalotembea sana sasa la eti kuifuta. Maana kama ni kuifuta, sioni sababu hasa itakuwa ni ipi ya kuchukua hatua hiyo....

CHADEMA hawakushika bunduki kuua watu 29/10 - 4/11/2025...

CHADEMA hawateki na kuua watu...

Wanaoteka, kutesa na kuua watu ni CCM na serikali yao...

Hawa ndio wanaopaswa kufutwa ktk uso wa dunia hii na Tanzania kwa ujumla wake...

CCM ni wahaini na ni magaidi...
 
Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary!
Takataka
Huwezi kuwa na mahakama huru kama mchakato wa ajira za watumishi wa mahakama unategemea fadhila za Rais!
 
Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary!
Takataka
Mzizi wa tatizo ni mgongano wa wazi wa maslahi. Kumbuka kwenye kesi zote zinatupiliwa mbali mamlaka ya uteuzi ndo mshitakiwa mkuu!
 
Na hili neno "TUPILIA MBALI" linanipaga kichefuchefu sana hasa linapotumiwa katika kuongelea vitendo vya kimahakama.

~ Tatizo lako halina maana, limetupiliwa mbali!

'Tatizo ni tatizo hauwezi kuondoa tatizo kwa kulitupa/kulipotezea kama vile halipo'.

Nawaomba tuache kulitumia neno hili. Kuna maneno mengi ya kiswahili ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom