Kila kitu cha watanzania ni kichafu

Kila kitu cha watanzania ni kichafu

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
 
Hao hao ndo tuwa achia badari ita oza na pesa watapiga bora DP world waje serikali ipate mapato zaidi
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
Hii inchi ngumu ndugu, mimi hata uwanjani niliishaacha maana niliona ujinga mwingi. Nakataa tiketi ya VIP halafu nikifika nakosa siti napelekwa mzunguko, khaa Mambo ya uwanjani yanasikitisha.
 
Meneja wa uwanja asipatikane kwa kuteuliwa.
1.Apatikane kwa ushindanishi
2. Waombaji wateuliwe kwa uzoefu wa maeneo waliyokwisha hudumu hususani kwenye kuhudumia kiwanja
3. Mshindi alete mpango mkakati wake ukijumuisha na gharama za uendeshaji kwa mwaka.
4.Kuwe na Sheria ya kumlinda meneja wa uwanja iwapo hajafikia malengo, je? ni watoa fedha walishindwa kuwasilisha fedha kwa wakati kwa meneja wa uwanja ili kutekeleza kazi zake. Hapa ndipo uchawi ulipo kwenye utekelezaji wa jambo lolote ndani ya hii nchi. Wakitaka kukuharibia hata kama upo vizuri ni kukucheleweshea fedha au kuleta pungufu ili usitimize malengo
4. Tukiona mbongo hapatoshi twende hata nje ya nchi tutafute mwenye uwezo lakini sio kuwa na uwanja mchafu vile
 
Usafi ni tabia.
Siyo ya kuzaliwa, ni ya kufundishwa na kusimamiwa. Rwanda ni safi, haikuwa safi siku zote.

Botswana ni safi, haikuwa hivyo siku zote, wametengenezwa kuwa hivyo.

Tanzania mtu ananua mhindi, ganda anatupa nje ya gari. Gunzi anatupa nje. Licha ya kuchafua mazingira, lkn pia wanahatarisha usalama wa gari lililo nyuma.

Viongozi wetu ni hovyo na sisi tumekuwa hovyo zaidi
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
Ndo maana Nyerere alikuwa anapeleka wanafunzi nje Wengi ..zaidi ya elfu 20 kila mwaka ...wakajifunze na ustaarabu pia... exposure inahitajika..

Sisi tunafikri unatoa mtu Simiyu anakuja udsm basi anakuwa tayari msomi kastaarabika....bado sana
 
Hatari sana. Lkn walioenda huko mbele ndo watu hovyo zaidi. Majizi na hayajali maslahi ya umma
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana

Kuwa na ccm ni janga.
Wanajifanya wanafanya ukarabati laikini hizo pesa wanapeleka kwenye mfuko wa ccm ka ajili ya maandalizi ya 2025
 
Meneja wa uwanja asipatikane kwa kuteuliwa.
1.Apatikane kwa ushindanishi
2. Waombaji wateuliwe kwa uzoefu wa maeneo waliyokwisha hudumu hususani kwenye kuhudumia kiwanja
3. Mshindi alete mpango mkakati wake ukijumuisha na gharama za uendeshaji kwa mwaka.
4.Kuwe na Sheria ya kumlinda meneja wa uwanja iwapo hajafikia malengo, je? ni watoa fedha walishindwa kuwasilisha fedha kwa wakati kwa meneja wa uwanja ili kutekeleza kazi zake. Hapa ndipo uchawi ulipo kwenye utekelezaji wa jambo lolote ndani ya hii nchi. Wakitaka kukuharibia hata kama upo vizuri ni kukucheleweshea fedha au kuleta pungufu ili usitimize malengo
4. Tukiona mbongo hapatoshi twende hata nje ya nchi tutafute mwenye uwezo lakini sio kuwa na uwanja mchafu vile
Dah bongo fitna tupu
 
Ndo maana Nyerere alikuwa anapeleka wanafunzi nje Wengi ..zaidi ya elfu 20 kila mwaka ...wakajifunze na ustaarabu pia... exposure inahitajika..

Sisi tunafikri unatoa mtu Simiyu anakuja udsm basi anakuwa tayari msomi kastaarabika....bado sana
Kwani watu wa Simiyu siyo wasafi ? watu wote wachafu wa nchi hii wanatoka Simiyu?.mbona hujatolea mfano wanaotoka huko Pemba?
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
Kama wataka kujua kwamba watanzania ni failure uchafu na uharibifu tunao damuni neenda kweny public premises kama. Stendi ya magufuli mbezi, neenda hospitali ya taifa muhimbili utajionee uchafu nawewe utajidharau tu.
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
Inasikitisha sana. Roho zetu ni chafu sana ndiyo maana kila kitu chetu kinakuwa kichafu.

kaone uwanja mdogo tu wa Azam ulivyo msafi. Waarabu wale.

Hicho kiwanja wapewe DP World wakiendeshe.

Watanzania hatuwezi kitu zaidi ya majungu, matusi, roho mbaya, uchawi, wizi, uongo umbea, uzandiki na uchafu wa kila namna. Vitu vyetu vitaacha kuwa vichafu ikiwa roho zetu ni chafu? Fikiri.
 
Kuna kaukweli fulani, wakati wa shirika la fast jet usafiri wandege walikua wawakika route 5 mwanza kwa siku ile ilikua inaendeshwa na wazungu. Sasa neenda air tanzania some time usafi wandege unafanyiwa tayari abilia wamo ndani, na kubaya zaidi wakika wa safari haupo.
 
Back
Top Bottom