ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.
Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.
Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?
Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.
Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.
Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.
Hivi nani atufundishe ustarabu?
Nakereka sana