Dunian tunachezeana akil sana ni vile atujui tu.. huyu mtu akuna kizaz cha 2000 kwa watoto wa kike na kiume wasio mjua leo kaonekana malaika kurud malangon kwa Bwana lakn kwa uwezo wangu mdogo wa kufkr hil n tatzo kwa vijana wetu wasioweza kuchanganua mambo wataona n rahis kufanya madhambi na kupokelewa kundini wakat tayar utakua ushaharbika, hiz n mission za ki magharbi kuonyesha ushoga n ktu cha kawaida katika jamii hata kiroho ndio mana kuna makanisa ulaya yanafungisha ndoa madume na watu wanashangilia na kuona ni jambo la kawaida sasa wameanza kuwarudisha kwenye malango ya iman kwakua tunamapokeo ya bila kutafakar tutaona n sahihi kumbe tunapandikiza kirusi kwenye mentality za watoto vjana hata wazaz pia kwa kufanyia brain wash kua kila ktu knawezekana kumbe tunaongeza number za mashoga kwenye jamii bila kujua