Mbona picha mpya inaonesha hajaacha kushika pochi ya kike?
Eneo la Same,Huko Kilimanjaro,linahitaji maombi
Kipande cha Makanya to Same kinakuwaga na viajali vya Hapa na pale wakati Njia imenyooka barabara nzuri.
Nafikiri tatizo ni upepo mkali eneo hilo
Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda kutokana na mabalaa yalomkuta huko ushogani ILA ananuru,tabasamu la kweli hakika anavutia ule mvuto wa kiume.
Sikuwahi kudhani kuwa kaka Philemon Agrey ni handsome namna hii!.
Hata hivyo kuna kitu kinanitia hofu moyoni mwangu.Je kaka Agrey ataweza kuvishinda vishawishi vya kumrudisha ushogani?🤭🤭?
1)Kwa sasa Agrey anavutia hivyo mafirauni yako radhi kumpa kiasi chochote wamshenyente tena!Je ana wokovu kiasi cha kukataa 50M?Mungu amsaidie sana.
2)Ushogani hawajapenda kupoteza mwenzao.Marafiki zake wakiendelea kuwa walewale kitakachotokea ni aidha awasaidie na wao wabadilike kama yeye au wao wamzidi nguvu wamrudishe ushogani.Je ana nguvu ya kuwashinda?Mungu amsaidie sana.
3)Agrey amechagua fungu jema kukimbilia kanisani kuitafuta amani na furaha ya kweli na kuwa karibu na Mungu wake ila SHETANI anaweza akapatumia huko huko kanisani kupitia malaika wake wa giza waliojificha humo kumuangusha kabisa Agrey.
Chukulia mfano atokee mmoja wa viongozi wa dini mwenye tabia za kimende aanze kumtaka Agrey?
Au Agrey aone mauchafu mengi yanayifanywa huko kanisani na watumishi wa Mungu aliowaamini kumtakasa si atapoteza imani na kama sio mwenye hekima arudi mazima ushogani?
Mwambieni kaka Philemon Agrey kuwa iwapo mpaka kufikia Christmas ya 2025 hatutasikia skendo ya yeye kurudi ushogani nina 15M zake za pongezi.
View attachment 3183147View attachment 3183149
Akiwashwa atatamani kukunwa na shida itaanzia hapo! Tumuombee sana
100 others
Vincenzo Jr
FaizaFoxy
Tundazuri
Poor Brain
Extrovert
PSL god
mzabzab
Guin
@mahamba_hachekwi
Nature ni nature tu mkuu
Mmmh!
Kaaaaazi kweli kweli
Ajitahidi aushinde mwili
Baada ya Mwaka utasikia ni Mwinjilist na anafanya miujiza.
Shetani ana mbinu nyingi kama ccm na Mbowe
Nipo tayari Aggrey anioe tena bila mahari.
Haina kuchepuka hiyo! Tutasoma vifungu vya biblia hadi ajazwe nguvu mpya
Dunian tunachezeana akil sana ni vile atujui tu.. huyu mtu akuna kizaz cha 2000 kwa watoto wa kike na kiume wasio mjua leo kaonekana malaika kurud malangon kwa Bwana lakn kwa uwezo wangu mdogo wa kufkr hil n tatzo kwa vijana wetu wasioweza kuchanganua mambo wataona n rahis kufanya madhambi na kupokelewa kundini wakat tayar utakua ushaharbika, hiz n mission za ki magharbi kuonyesha ushoga n ktu cha kawaida katika jamii hata kiroho ndio mana kuna makanisa ulaya yanafungisha ndoa madume na watu wanashangilia na kuona ni jambo la kawaida sasa wameanza kuwarudisha kwenye malango ya iman kwakua tunamapokeo ya bila kutafakar tutaona n sahihi kumbe tunapandikiza kirusi kwenye mentality za watoto vjana hata wazaz pia kwa kufanyia brain wash kua kila ktu knawezekana kumbe tunaongeza number za mashoga kwenye jamii bila kujua