Ushakimbilia natetea ushoga ,yaani wewe unajiona msafi ,sasa sikia dhambi ya Ushoga inaitwa machukizo, nakupa list ya dhambi nyingine Mungu aliziita machukizo ,alizi categories pamoja na ushoga ,halafu uniambie unapata wapi ujasiri wakumsimanga shoga ilihali Jehanum ni moja
Mithali 6:16-19, ambapo imeorodheshwa dhambi saba kuu ambazo ni machukizo:
1. Macho ya kiburi – Kuwa na kiburi na kujiona bora kuliko wengine.
2. Ulimi wa uongo – Kusema uwongo na udanganyifu.
3. Mikono inayomwaga damu isiyo na hatia – Kuuawa au kuumiza wasio na hatia.
4. Moyo unaotunga hila mbaya – Kufikiria na kupanga mambo ya dhambi.
5. Miguu inayokimbilia uovu kwa haraka – Kutenda dhambi kwa makusudi na kwa bidii.
6. Shahidi wa uwongo anayesema uongo – Kutoa ushuhuda wa uongo kwa madhara ya wengine.
7. Mwenye kuchochea ugomvi kati ya ndugu – Kugombanisha watu au kuleta migawanyiko.
WEWE KAMA HAUPO HAPO SAWA,ILA KAMA UPO KWENYE HIYO LIST BASI HUNA TOFAUTI NA SHOGA