Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Sio kweliMimi huyo nigawe vocha!😂 nilikua lile kundi la kusubiri vocha za bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliMimi huyo nigawe vocha!😂 nilikua lile kundi la kusubiri vocha za bure
Tumuombee asiwashwe, au tumuombee akiwashwa awe na shughuli ngumu ya kufanya, kama kilimo?Akiwashwa atatamani kukunwa na shida itaanzia hapo! Tumuombee sana
Niamini mkuu!Sio kweli
SawaNiamini mkuu!
Nitabdili Jina mzee sifagilii kisamvu cha kopo(Kula ndukumu awe mwanaume awe mwanamke)Angalia huyu mwanamme alojipa jina la kike vile kafurahia hii comment ya kukatisha tamaa hadi kairudia mara 2🤔🤔
View attachment 3183253
Ingekuwa ni msagaji nisingekuwa na mashaka sababu ni rahisi kwa msagaji kubadili life yake na kuachana na utoto.
But kwa mwanaume ambaye ameshakuwa molested na kuwa penetrated ni ngumu sana kusimama tena kama mwanaume kamili tena hata iweje.
Kuna vitu hawezi tena kufanya mfano,hawezi kuwa baba wa familia kwasababu history yake itakuja kumhukumu kwa mkewe na watoto wake so hataweza kuwa kichwa cha familia especially nyakati ngumu za kufanya maamuzi ya kiume. Imagine mkewe akimwambia mwanaume utakuwa wewe nenda ukafanywe huko na vidume wa kweli.
Ni ngumu sana kuweza kulea watoto kwa maana ya kuwa baba kiongozi kwao especially wakisha jua historia yake.
Kujichanganya na wanajamii kama mwanajamii wa kawaida bila aibu au fedheha ya kunyooshewa vidole kutokana na historia yake
Sio kweli mbona askari wa Zanzibar ana mke na watotoIngekuwa ni msagaji nisingekuwa na mashaka sababu ni rahisi kwa msagaji kubadili life yake na kuachana na utoto.
But kwa mwanaume ambaye ameshakuwa molested na kuwa penetrated ni ngumu sana kusimama tena kama mwanaume kamili tena hata iweje.
Kuna vitu hawezi tena kufanya mfano,hawezi kuwa baba wa familia kwasababu history yake itakuja kumhukumu kwa mkewe na watoto wake so hataweza kuwa kichwa cha familia especially nyakati ngumu za kufanya maamuzi ya kiume. Imagine mkewe akimwambia mwanaume utakuwa wewe nenda ukafanywe huko na vidume wa kweli.
Ni ngumu sana kuweza kulea watoto kwa maana ya kuwa baba kiongozi kwao especially wakisha jua historia yake.
Kujichanganya na wanajamii kama mwanajamii wa kawaida bila aibu au fedheha ya kunyooshewa vidole kutokana na historia yake.
Kuna tatizo gani, amini na kuambia huenda wewe una machafu mengi kuliko huyo Aggrey,Baada ya Mwaka utasikia ni Mwinjilist na anafanya miujiza.
Shetani ana mbinu nyingi kama ccm na Mbowe
Umeongea ujinga mwingi sana, ni kama hujapenda au hupendi kuona mashoga na wenye dhambi wakimtejea Mungu,Dunian tunachezeana akil sana ni vile atujui tu.. huyu mtu akuna kizaz cha 2000 kwa watoto wa kike na kiume wasio mjua leo kaonekana malaika kurud malangon kwa Bwana lakn kwa uwezo wangu mdogo wa kufkr hil n tatzo kwa vijana wetu wasioweza kuchanganua mambo wataona n rahis kufanya madhambi na kupokelewa kundini wakat tayar utakua ushaharbika, hiz n mission za ki magharbi kuonyesha ushoga n ktu cha kawaida katika jamii hata kiroho ndio mana kuna makanisa ulaya yanafungisha ndoa madume na watu wanashangilia na kuona ni jambo la kawaida sasa wameanza kuwarudisha kwenye malango ya iman kwakua tunamapokeo ya bila kutafakar tutaona n sahihi kumbe tunapandikiza kirusi kwenye mentality za watoto vjana hata wazaz pia kwa kufanyia brain wash kua kila ktu knawezekana kumbe tunaongeza number za mashoga kwenye jamii bila kujua
Mnaongea as if nyie ni wasafi sana ,laiti Mungu angeweka uchafu wenu hadharani huenda mngeomba ardhi iwamezeKuna muda atatamani hogo lizame kwenye kinyeo..... anaitupa biblia pembenii anaanza kushughulika kama mtoto wa kike aliyefundwa na akafundika.
Cc: Poor Brain Extrovert secretarybird
Mungu akisema akukague ,je unastahili hata kuvuta pumzi yake?Ni binadamu lakini hastahili
Acheni uongo aisee, anti assu alikuwa shoga maarufu dar ,huyo Aggrey hajamfikia ,lakin aliokoka na alifunga ndoa na sasa ana familia na watotoIngekuwa ni msagaji nisingekuwa na mashaka sababu ni rahisi kwa msagaji kubadili life yake na kuachana na utoto.
But kwa mwanaume ambaye ameshakuwa molested na kuwa penetrated ni ngumu sana kusimama tena kama mwanaume kamili tena hata iweje.
Kuna vitu hawezi tena kufanya mfano,hawezi kuwa baba wa familia kwasababu history yake itakuja kumhukumu kwa mkewe na watoto wake so hataweza kuwa kichwa cha familia especially nyakati ngumu za kufanya maamuzi ya kiume. Imagine mkewe akimwambia mwanaume utakuwa wewe nenda ukafanywe huko na vidume wa kweli.
Ni ngumu sana kuweza kulea watoto kwa maana ya kuwa baba kiongozi kwao especially wakisha jua historia yake.
Kujichanganya na wanajamii kama mwanajamii wa kawaida bila aibu au fedheha ya kunyooshewa vidole kutokana na historia yake.
VAR anachukulia kituo gani?Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda kutokana na mabalaa yalomkuta huko ushogani ILA ananuru,tabasamu la kweli hakika anavutia ule mvuto wa kiume.
Sikuwahi kudhani kuwa kaka Philemon Agrey ni handsome namna hii!.
Hata hivyo kuna kitu kinanitia hofu moyoni mwangu.Je kaka Agrey ataweza kuvishinda vishawishi vya kumrudisha ushogani?ðŸ¤ðŸ¤?
1)Kwa sasa Agrey anavutia hivyo mafirauni yako radhi kumpa kiasi chochote wamshenyente tena!Je ana wokovu kiasi cha kukataa 50M?Mungu amsaidie sana.
2)Ushogani hawajapenda kupoteza mwenzao.Marafiki zake wakiendelea kuwa walewale kitakachotokea ni aidha awasaidie na wao wabadilike kama yeye au wao wamzidi nguvu wamrudishe ushogani.Je ana nguvu ya kuwashinda?Mungu amsaidie sana.
3)Agrey amechagua fungu jema kukimbilia kanisani kuitafuta amani na furaha ya kweli na kuwa karibu na Mungu wake ila SHETANI anaweza akapatumia huko huko kanisani kupitia malaika wake wa giza waliojificha humo kumuangusha kabisa Agrey.
Chukulia mfano atokee mmoja wa viongozi wa dini mwenye tabia za kimende aanze kumtaka Agrey?
Au Agrey aone mauchafu mengi yanayifanywa huko kanisani na watumishi wa Mungu aliowaamini kumtakasa si atapoteza imani na kama sio mwenye hekima arudi mazima ushogani?
Mwambieni kaka Philemon Agrey kuwa iwapo mpaka kufikia Christmas ya 2025 hatutasikia skendo ya yeye kurudi ushogani nina 15M zake za pongezi.
View attachment 3183147View attachment 3183149
Umeongea ukweli ,watu hawajui nguvu ya damu ya Yesu aisee ,Kuna watu tulikuwa wachawi kabisa ,ila Yesu katutoa huko ,itakuwa huyu ShogaAdumu katika Maombi Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia roho mtakatifu azidi kumuongoza hakuna kinachoshindikana katika mikono yake kama aliweza kumbadili SAULI na kuwa PAUL hope Mungu azidi kumkumbatia katika mbawa zake
Luca amefeli sanaNipo tayari Aggrey anioe tena bila mahari.
Upo sahihi ,pia huyu alikuwa na roho wa Mungu hata kama kidogo, mara nyingi nilikuwa namuona kabisa huyu ni kama anafanya ushoga ila Kuna kitu kinamwambia huko sio kwake,alikuwa hasahau kuweka hata nyimbo za injili,Kuna kitu kwenye macho ya Aggrey mpya ambacho kinaashiria hofu kubwa. Mpaka kufikia maamuzi aliyofikia itakuwa kadhihirishiwa mengi kiroho. Nina hakika hatorudia tena kufanya aliyokuwa akiyafanya.
Sio kwa ubaya ila nahisi kupona kwake alichokuwa anaumwa na kuokoka kwake ni kwa sababu maalum ya kiroho zaidi. Inawezekana asiishi muda mrefu baada ya sasa ili tu kutimiza utakaso wake.
Ni busara kumpa moyo kwa maamuzi aliyofikia na kutoweka shaka juu ya uthabiti wa dhamira yake.
Ushoga asilimia kubwa ni mapepo, kwahiyo sishangai kuona comments za kumkatisha tamaa ,shetani ameumia sana na atamuandama sana ,azidishe maombi sanaHii uzi imejaa mashoga wengi na wana ishu za kisaikolojia nilijua kabisa comments za kukatisha tamaa zitakua nyingi kuliko za kutia moyo.Inawaumiza wakiona wenzao wanafanikiwa kutoka.
Upo shahihi alikuwa ni mtu ambaye kama nafsi inamsuta na kumskuma atoke kule ,mpaka alipopata tatizo ndio akaisikiliza nafsi yakeAggrey ni mtu aliyekuwa na stress sana ,nilitarajia hili.Si mara moja si mara mbili namuona katika hali ile ya stress ila sikutaka kumshauri chochote maana ni fungu ambalo alikuwa amelichagua mwenyewe.
Anaongea kitu kwa assumption,wanatamani na watashangilia Aggrey akirudi huko,All you wrote is wrong and you know it kwa hiyo sitapoteza nguvu kukuelewesha kuwa ni kwanini ulichosema hata wewe hukiamini ila kwa sbb unazozijua wewe unatamani iwe hivyo
NdioMungu akisema akukague ,je unastahili hata kuvuta pumzi yake?