ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 921
- 2,163
Huyu ni mwanaume?Sawa stEPHEN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwanaume?Sawa stEPHEN
kada Lucas Mwashambwa hajaiona hii comment yako?Nipo tayari Aggrey anioe tena bila mahari.
Valhalla nimeitikia wito
Aggrey ni mtu aliyekuwa na stress sana ,nilitarajia hili.Si mara moja si mara mbili namuona katika hali ile ya stress ila sikutaka kumshauri chochote maana ni fungu ambalo alikuwa amelichagua mwenyewe.Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda kutokana na mabalaa yalomkuta huko ushogani ILA ananuru,tabasamu la kweli hakika anavutia ule mvuto wa kiume.
Sikuwahi kudhani kuwa kaka Philemon Agrey ni handsome namna hii!.
Hata hivyo kuna kitu kinanitia hofu moyoni mwangu.Je kaka Agrey ataweza kuvishinda vishawishi vya kumrudisha ushogani?🤭🤭?
1)Kwa sasa Agrey anavutia hivyo mafirauni yako radhi kumpa kiasi chochote wamshenyente tena!Je ana wokovu kiasi cha kukataa 50M?Mungu amsaidie sana.
2)Ushogani hawajapenda kupoteza mwenzao.Marafiki zake wakiendelea kuwa walewale kitakachotokea ni aidha awasaidie na wao wabadilike kama yeye au wao wamzidi nguvu wamrudishe ushogani.Je ana nguvu ya kuwashinda?Mungu amsaidie sana.
3)Agrey amechagua fungu jema kukimbilia kanisani kuitafuta amani na furaha ya kweli na kuwa karibu na Mungu wake ila SHETANI anaweza akapatumia huko huko kanisani kupitia malaika wake wa giza waliojificha humo kumuangusha kabisa Agrey.
Chukulia mfano atokee mmoja wa viongozi wa dini mwenye tabia za kimende aanze kumtaka Agrey?
Au Agrey aone mauchafu mengi yanayifanywa huko kanisani na watumishi wa Mungu aliowaamini kumtakasa si atapoteza imani na kama sio mwenye hekima arudi mazima ushogani?
Mwambieni kaka Philemon Agrey kuwa iwapo mpaka kufikia Christmas ya 2025 hatutasikia skendo ya yeye kurudi ushogani nina 15M zake za pongezi.
View attachment 3183147View attachment 3183149
Mungu ampe kushinda majaribuAggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda kutokana na mabalaa yalomkuta huko ushogani ILA ananuru,tabasamu la kweli hakika anavutia ule mvuto wa kiume.
Sikuwahi kudhani kuwa kaka Philemon Agrey ni handsome namna hii!.
Hata hivyo kuna kitu kinanitia hofu moyoni mwangu.Je kaka Agrey ataweza kuvishinda vishawishi vya kumrudisha ushogani?🤭🤭?
1)Kwa sasa Agrey anavutia hivyo mafirauni yako radhi kumpa kiasi chochote wamshenyente tena!Je ana wokovu kiasi cha kukataa 50M?Mungu amsaidie sana.
2)Ushogani hawajapenda kupoteza mwenzao.Marafiki zake wakiendelea kuwa walewale kitakachotokea ni aidha awasaidie na wao wabadilike kama yeye au wao wamzidi nguvu wamrudishe ushogani.Je ana nguvu ya kuwashinda?Mungu amsaidie sana.
3)Agrey amechagua fungu jema kukimbilia kanisani kuitafuta amani na furaha ya kweli na kuwa karibu na Mungu wake ila SHETANI anaweza akapatumia huko huko kanisani kupitia malaika wake wa giza waliojificha humo kumuangusha kabisa Agrey.
Chukulia mfano atokee mmoja wa viongozi wa dini mwenye tabia za kimende aanze kumtaka Agrey?
Au Agrey aone mauchafu mengi yanayifanywa huko kanisani na watumishi wa Mungu aliowaamini kumtakasa si atapoteza imani na kama sio mwenye hekima arudi mazima ushogani?
Mwambieni kaka Philemon Agrey kuwa iwapo mpaka kufikia Christmas ya 2025 hatutasikia skendo ya yeye kurudi ushogani nina 15M zake za pongezi.
View attachment 3183147View attachment 3183149
Ulilolisema ni sahihi.Baada ya Mwaka utasikia ni Mwinjilist na anafanya miujiza.
Shetani ana mbinu nyingi kama ccm na Mbowe
La stress ni kweli na bado hayuko sawa kabisa.Itamchukua muda kukaa sawa kabisaAggrey ni mtu aliyekuwa na stress sana ,nilitarajia hili.Si mara moja si mara mbili namuona katika hali ile ya stress ila sikutaka kumshauri chochote maana ni fungu ambalo alikuwa amelichagua mwenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nipo tayari Aggrey anioe tena bila mahari.
😀😎Mungu amtangulie kwenye wokovu wake
Nashukuru
Kulikuwa na mashoga zaidi yake na wakaacha ushoga na maisha yakasonga kama kawaida,walioa na kupata watoto kabisa. Mfano aunt Asu.Ingekuwa ni msagaji nisingekuwa na mashaka sababu ni rahisi kwa msagaji kubadili life yake na kuachana na utoto.
But kwa mwanaume ambaye ameshakuwa molested na kuwa penetrated ni ngumu sana kusimama tena kama mwanaume kamili tena hata iweje.
Kuna vitu hawezi tena kufanya mfano,hawezi kuwa baba wa familia kwasababu history yake itakuja kumhukumu kwa mkewe na watoto wake so hataweza kuwa kichwa cha familia especially nyakati ngumu za kufanya maamuzi ya kiume. Imagine mkewe akimwambia mwanaume utakuwa wewe nenda ukafanywe huko na vidume wa kweli.
Ni ngumu sana kuweza kulea watoto kwa maana ya kuwa baba kiongozi kwao especially wakisha jua historia yake.
Kujichanganya na wanajamii kama mwanajamii wa kawaida bila aibu au fedheha ya kunyooshewa vidole kutokana na historia yake.
Akitaka kukuoa mtu kama huyo utakubali!?Amependeza kwa kweli
😂😂😂😂kama sijui labda na kama show anapiga fresh kwanini nikataeAkitaka kukuoa mtu kama huyo utakubali!?
Sona jibu la uhakika ila ilianza kama ya kiume na kuna IDs zenye "heshima" na umaarufu hapa JF ndo waliipromote hii hadi ikawa maarufu tokea ikiwa ya kiumeHuyu ni mwanaume?
HAKUNA CHA SHETANI WALA KUMLILIA MUNGU,,,Kina mama tufunge na kuombea uzao wa matumbo yetu.
Shetani amesimama sana kuharibu jinsia tukufu ya mfano wa Mungu.
Angalia likes zilizoko kwenye uzi mzuri wa kufurahusha kuwa kondoo aliyepotea karudu kundini na likes zilizoko kwenye hiyo comment ya kukatisha tana🤔🤔
Angalia the way wanaume wenye heshima humu wanavyosema bila aibu kuwa haiwezekani kuacha.
WAMEJUAJE
Tujilize kwa Mungu shetani ameinuka na hana utani
View attachment 3183233View attachment 3183234