Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How comes haya yawe mawazo yenye uzito kichwani mwakoAkiwashwa atatamani kukunwa na shida itaanzia hapo! Tumuombee sana
You can’t change nature and remain safeNature ni nature tu mkuu
Kwan yeye sio binadam au hastahiliBaada ya Mwaka utasikia ni Mwinjilist na anafanya miujiza.
Shetani ana mbinu nyingi kama ccm na Mbowe
Ni binadamu lakini hastahiliKwan yeye sio binadam au hastahili
Karudi baadanya kuumwa? Si wanasema huko kuna raha na starehe na kwamba ni maisha yao tusiwaingilie?Kaumwa sana akaona marafiki na kampani zake wamemtenga karudi kundini tabia ya binadamu hatuchelewi kusahau 🐒
Ndiyo nani huyo philemon na anaishi wapi?Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi
Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda kutokana na mabalaa yalomkuta huko ushogani ILA ananuru,tabasamu la kweli hakika anavutia ule mvuto wa kiume.
Sikuwahi kudhani kuwa kaka Philemon Agrey ni handsome namna hii!.
Hata hivyo kuna kitu kinanitia hofu moyoni mwangu.Je kaka Agrey ataweza kuvishinda vishawishi vya kumrudisha ushogani?🤭🤭?
1)Kwa sasa Agrey anavutia hivyo mafirauni yako radhi kumpa kiasi chochote wamshenyente tena!Je ana wokovu kiasi cha kukataa 50M?Mungu amsaidie sana.
2)Ushogani hawajapenda kupoteza mwenzao.Marafiki zake wakiendelea kuwa walewale kitakachotokea ni aidha awasaidie na wao wabadilike kama yeye au wao wamzidi nguvu wamrudishe ushogani.Je ana nguvu ya kuwashinda?Mungu amsaidie sana.
3)Agrey amechagua fungu jema kukimbilia kanisani kuitafuta amani na furaha ya kweli na kuwa karibu na Mungu wake ila SHETANI anaweza akapatumia huko huko kanisani kupitia malaika wake wa giza waliojificha humo kumuangusha kabisa Agrey.
Chukulia mfano atokee mmoja wa viongozi wa dini mwenye tabia za kimende aanze kumtaka Agrey?
Au Agrey aone mauchafu mengi yanayifanywa huko kanisani na watumishi wa Mungu aliowaamini kumtakasa si atapoteza imani na kama sio mwenye hekima arudi mazima ushogani?
Mwambieni kaka Philemon Agrey kuwa iwapo mpaka kufikia Christmas ya 2025 hatutasikia skendo ya yeye kurudi ushogani nina 15M zake za pongezi.
View attachment 3183147View attachment 3183149
Kaumwa na rafiki zake walimtenga wale waliokua wanampa kichwa.Karudi baadanya kuumwa? Si wanasema huko kuna raha na starehe na kwamba ni maisha yao tusiwaingilie?
Hizo ni propaganda tu trust me.Ahaa umenikumbusha kitu...
Huwa najiuliza sana kama u-LGBTQIA+ ni asili na upekee wa mtu binafsi(kama wanavyopenda kusema wao), inakuwaje watu wa LGBTQ wanaamua kuwa kawaida?
Inachanganya sana....
Eeeeh Nimekuvua nyota Zote we binti.Nipo tayari Aggrey anioe tena bila mahari.
Vizuri sana mkuu!Eeeeh Nimekuvua nyota Zote we binti.
Mkuu nani?hebu toka hapaVizuri sana mkuu!
Hivi hatuwezi kutafuta matibabu yake kama taifa? Ili mtu akiacha asirudi tea hukoChukulia mfano atokee mmoja wa viongozi wa dini mwenye tabia za kimende aanze kumtaka Agrey?
Au Agrey aone mauchafu mengi yanayifanywa huko kanisani na watumishi wa Mungu aliowaamini kumtakasa si atapoteza imani na kama sio mwenye hekima arudi mazima ushogani?
Mwambieni kaka Philemon Agrey kuwa iwapo mpaka kufikia Christmas ya 2025 hatutasikia skendo ya yeye kurudi ushogani nina 15M zake za pongezi.
Atapita hapa kusoma naamini atazingatiaKitu kitachomsaidia ni kudumu katika maombi,kuvunja Ile kampani mbaya ake nayo mbali.
Afanye shughuli zake halali basi
Pia ajiweke karibu na mwanamke wa kumrudisha uanaumeni,sio wale mashangingi wa mjini basi.
Hakuna linaloshindikana chini ya jua . Wapo mashoga kadhaa nawafahamu wameoa na wana watoto wengine huendelea na wengine huacha inategemea na watu unaofatana nao.Ingekuwa ni msagaji nisingekuwa na mashaka sababu ni rahisi kwa msagaji kubadili life yake na kuachana na utoto.
But kwa mwanaume ambaye ameshakuwa molested na kuwa penetrated ni ngumu sana kusimama tena kama mwanaume kamili tena hata iweje.
Kuna vitu hawezi tena kufanya mfano,hawezi kuwa baba wa familia kwasababu history yake itakuja kumhukumu kwa mkewe na watoto wake so hataweza kuwa kichwa cha familia especially nyakati ngumu za kufanya maamuzi ya kiume. Imagine mkewe akimwambia mwanaume utakuwa wewe nenda ukafanywe huko na vidume wa kweli.
Ni ngumu sana kuweza kulea watoto kwa maana ya kuwa baba kiongozi kwao especially wakisha jua historia yake.
Kujichanganya na wanajamii kama mwanajamii wa kawaida bila aibu au fedheha ya kunyooshewa vidole kutokana na historia yake.