Kila kitu huvutia kinapokuwa katika asili yake

Usiseme hivyo atakua ameamua kwa dhati kujirudi,na uenda mungu ameshapokea toba yake, tuamini hivyo,tusiendelee kumuhukumu na kuhukumu ni kazi ya mungu pekee.
 
Ahaa umenikumbusha kitu...

Huwa najiuliza sana kama u-LGBTQIA+ ni asili na upekee wa mtu binafsi(kama wanavyopenda kusema wao), inakuwaje watu wa LGBTQ wanaamua kuwa kawaida?

Inachanganya sana....
Sio kila anayeshiriki ngono ya jinsia moja ni shoga; watu wengi wanaweza kushiriki ngono ya jinsia moja kutokana na sababu nyingi ikiwemo trauma, malezi nk. Na pia unaweza usishiriki ngono ya jinsia moja na hata ukashiriki ngono na jinsia tofauti ila bado unavutiwa na jinsia yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…