Kila kitu kilishapangwa

Ni ukweli mtupu unavyojiwazia ndivyo unavyokuwa
 
Doctor nakuamini kwa mengi ila hili litachukua miaka 1000 kuamini ulicho kiwaza nyuma ya keyboard. Nishawishi hata kidogo... Inakuaje mtoto mdogo hajui chochote akapanga maisha yake?
Ok Nafsi ina umri mkubwa kuliko huo mwili ulionao wewe!
Katika Uislamu Wanaamini nafsi zote ziliumbwa kwa siku moja..Naaamini nao pia hivyo..

Sasa nafsi hubeba Matukio yote ya maisha yako na Huifazi matukio.hayo kwenye Kwa uchache au kwa wingi na kuyafunga kwenye Consicious part ya brain yako..

Na ndo maana Mtu aliyefungua hata robo ya Consciou..part ya Brain huweza kujua mengi na wengi humuita Genius..
Anaweza kufanya Uvumbuzi " Sio kwamba uvumbuzi huo unakuwa mpya" ila information hiyo kwenye mwili huu inakuwa mpya...

Hujawahi kukutana na DejaVu Effects???
 
Endelea doctor bado kuna point naitafuta ili niunganishe nukta
 
Endelea doctor bado kuna point naitafuta ili niunganishe nukta
Ok sawa ukienda kwa Wahindi Wanasema kuwa Pale unapokufa ikiwa bado hujatimiza Karma au Dharma iliyokuleta Duniani basi, Nafsi huchukua Mwili na kurudi tena Duniani..kitendo hicho huitwa Reincarnation..Kupitia Circle of Samsara...

Ambayo Sample "Just a portion" ya hicho kitu kidogo tu na maelezo yake Ipo kwa wakristo "Sanasana Roman" huiita Toharani..
Kwamba mtu anapokufa huenda toharani na ulipia maovu yake huko..

Na sasa anaporudi huchagua mapito yake Na mpaka mwisho wake pia..
Hii ni kwasababu kuu chache wengine huja kujifunza vitu ambavyo wanahisi bado hawakueleza..
Kuna wengine huja kulipia Karma zao..

Sasa kufutiwa kwa vitu na kukufanya Usikumbuka Ni kukulinda wewe na wngine..

nafsi na roho huwa na Uvumilivu ila Mwili Huwa ni dhaifu ulojaa Ego, Majivuno na Kutokubali..

tungeachwa na kumbu kumbu za maisha tuliyoyachagua na kwanini tuliyachagua (Means tutaweza kujua hata Our previous Past lives)..

Unafikiri mimi Nikiwa Rais au nina cheo fulani nagundua kwamba miaka ya Nyuma kilichonifanya Nife ni Weww juma Nilikufuma na mke wangu miaka 400 ilopita nitakuacha salama?

Hiyo ndiyo hekima ya kuficha ili ukitafuta kwa Nguvu...Kutafuta kujua Ukweli Huja na upendo na Amani kwa hiyo ukifika level za kujua Amani na Upendo vitakuja Pamoja..

na ndo maana hata kwenye Biblia imeandikwa..

"Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, Na huo utakatifu maana hakuna mtu atakayemwona bwana asipokuwa nao"

Tupate kidogo wadhamini..


Mwanasayansi ya Number Pythagoras yeye aligundua kuwa kurudi kwa nafsi na mapito yake kumefichwa kwenye Namba, Jina Na siku saa na hata mahali ulipozaliwa..(Akiamaanisha elimu ya Numerology)
Na akaichambua Kuanzia 1-9
Na kila Lifepath Huwa na Mapito yake..
Na huwa na Destiny Chaguzi ya hatima Yake..

SIku,mwezi na Mwaka unaozaliwa kwa pamoja vikijumuishwa unapata Life path (Mapito yako)..

Na Jina lako likijumlishwa linaleta (Destiny Yako)
Huyo ni Pythagoras
 
Mwanasayansi ya Number Pythagoras yeye aligundua kuwa kurudi kwa nafsi na mapito yake kumefichwa kwenye Namba, Jina Na siku saa na hata mahali ulipozaliwa..(Akiamaanisha elimu ya Numerology)
Na akaichambua Kuanzia 1-9
Na kila Lifepath Huwa na Mapito yake..
Na huwa na Destiny Chaguzi ya hatima Yake..

SIku,mwezi na Mwaka unaozaliwa kwa pamoja vikijumuishwa unapata Life path (Mapito yako)..

Na Jina lako likijumlishwa linaleta (Destiny Yako)
Hapa nahitaji elimu zaidi Dr 🤔
 
Umeongea point doctor.... Dejavu ni kidhihirosho Tosha kua.... na soul(nafsi) ipo through multiple lifetimes....
 
Kila aliyeumbwa kabla hajaingia kwenye tumbo la mama yake alikuwepo tena akiwa mkubwa kabisa sio mtoto, (Yeremia 1:5a
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua
).

Ishu inakuwa baada ya uumbaji kutekwa kila mmoja alikuwa ameibiwa masterplan yake (KUSUDI),falme na mamlaka walikuwa na uwezo wa kuona nyota yako miaka hata 100 kabla hujazaliwa wakakubadilishia au kukuibia ulivyopewa.

Uthibitisho tunaona (mwanzo 15:13-16) uzao wa Ibrahimu ulipelekwa utumwani miaka 25 hata kabla ya ishmaeli na isaka kuzaliwa.

Ndivyo falme na mamlaka walikuwa wanaprogram watu na wanadamu.
 
Path life ni Mapito ambayo inabidi uyapitie ili kufika kwenye pumziko au kwa kiswahili cha sasa ili ujipate kwenye Destiny..

Maana Yake unapozaliwa unakuja na Full package ya Muongozo wa maisha yako..
Tarehe mwezi na mwaka huwakilisha path life ..

NA jina lako huwakilisha Destiny yako..

Lets Say wewe ni Manyanza bashiri..
Ukiibadili Hii kuwa Numerological value..

13 + 1 + 14 + 25 + 1 + 14 + 26 + 1 +2 + 1 + 19 + 8 + 9 + 18 + 9=161

161= 1+6+1=8

So Destiny number ya Manyanza ni 8...


Manyanza kazaliwa 13/3/2003..

1+3+3+2+0+0+3=12=3..

So Manyanza ana Path life ya 3..

So manyanza alivyo yeye sasa hivi na alivyzaliwa yeye na tabia zake yeye zote na atakavyoishi yeye na njia zake zote zipo kwenye namba 3..Na hayo ndo mapito yake ila Hatima yake huwa namba 8
 
Mkuu ndio MUNGU huyo,

Tatizo watu wengi wakisikia Mungu akilini mwao inawajia taswira ya physical body fulani, iliyoketi mahari patakatifu na pakifahari

Nimeona umeigusia sana
nafsi (consciousness), je roho unazungumziaje ama unaihusianisha vipi na hiyo nguvu uliyo i-access.?
 
Tuchambulie kila namba na mishe zake mkuu
 
Nimezaliwa 16 September Mkuu.
DR Mambo Jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…