DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Zaburi 82:6Duh..
Ukajipangia mwenyewe hatma kabla hujazaliwa?!
So you are your own God?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaburi 82:6Duh..
Ukajipangia mwenyewe hatma kabla hujazaliwa?!
So you are your own God?
Ni somo ambalo linahitaji muda sana na wala sio matango poriDoctor hapa penyewe umetulisha matango pori. Inawezekana vipi upange hayo yote wakati unakua hauna ufahamu wowote?
Acha uongo hakuna ajuaye keshoKwa sasa huwezi kujua kwasababu upo kwenye Amnesia
Doctor nakuamini kwa mengi ila hili litachukua miaka 1000 kuamini ulicho kiwaza nyuma ya keyboard. Nishawishi hata kidogo... Inakuaje mtoto mdogo hajui chochote akapanga maisha yake?Ni somo ambalo linahitaji muda sana na wala sio matango pori
Sijasema najua kesho Mkuu!Acha uongo hakuna ajuaye kesho
Niambie kesho nin kitatokea we siunajua kesho
Ni ukweli mtupu unavyojiwazia ndivyo unavyokuwaWell, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.
Ok Nafsi ina umri mkubwa kuliko huo mwili ulionao wewe!Doctor nakuamini kwa mengi ila hili litachukua miaka 1000 kuamini ulicho kiwaza nyuma ya keyboard. Nishawishi hata kidogo... Inakuaje mtoto mdogo hajui chochote akapanga maisha yake?
Ok Nafsi ina umri mkubwa kuliko huo mwili ulionao wewe!
Katika Uislamu Wanaamini nafsi zote ziliumbwa kwa siku moja..Naaamini nao pia hivyo..
Sasa nafsi hubeba Matukio yote ya maisha yako na Huifazi matukio.hayo kwenye Kwa uchache au kwa wingi na kuyafunga kwenye Consicious part ya brain yako..
Na ndo maana Mtu aliyefungua hata robo ya Consciou..part ya Brain huweza kujua mengi na wengi humuita Genius..
Anaweza kufanya Uvumbuzi " Sio kwamba uvumbuzi huo unakuwa mpya" ila information hiyo kwenye mwili huu inakuwa mpya...
Hujawahi kukutana na DejaVu Effects?
Hii movie ina trigger akili kinoma.....Kuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..
Mpka hatima yako..Kabla hujazaliwa
View attachment 2943376
Ok sawa ukienda kwa Wahindi Wanasema kuwa Pale unapokufa ikiwa bado hujatimiza Karma au Dharma iliyokuleta Duniani basi, Nafsi huchukua Mwili na kurudi tena Duniani..kitendo hicho huitwa Reincarnation..Kupitia Circle of Samsara...Endelea doctor bado kuna point naitafuta ili niunganishe nukta
Mwanasayansi ya Number Pythagoras yeye aligundua kuwa kurudi kwa nafsi na mapito yake kumefichwa kwenye Namba, Jina Na siku saa na hata mahali ulipozaliwa..(Akiamaanisha elimu ya Numerology)Ok sawa ukienda kwa Wahindi Wanasema kuwa Pale unapokufa ikiwa bado hujatimiza Karma au Dharma iliyokuleta Duniani basi, Nafsi huchukua Mwili na kurudi tena Duniani..kitendo hicho huitwa Reincarnation..Kupitia Circle of Samsara...
Ambayo Sample "Just a portion" ya hicho kitu kidogo tu na maelezo yake Ipo kwa wakristo "Sanasana Roman" huiita Toharani..
Kwamba mtu anapokufa huenda toharani na ulipia maovu yake huko..
Na sasa anaporudi huchagua mapito yake Na mpaka mwisho wake pia..
Hii ni kwasababu kuu chache wengine huja kujifunza vitu ambavyo wanahisi bado hawakueleza..
Kuna wengine huja kulipia Karma zao..
Sasa kufutiwa kwa vitu na kukufanya Usikumbuka Ni kukulinda wewe na wngine..
nafsi na roho huwa na Uvumilivu ila Mwili Huwa ni dhaifu ulojaa Ego, Majivuno na Kutokubali..
tungeachwa na kumbu kumbu za maisha tuliyoyachagua na kwanini tuliyachagua (Means tutaweza kujua hata Our previous Past lives)..
Unafikiri mimi Nikiwa Rais au nina cheo fulani nagundua kwamba miaka ya Nyuma kilichonifanya Nife ni Weww juma Nilikufuma na mke wangu miaka 400 ilopita nitakuacha salama?
Hiyo ndiyo hekima ya kuficha ili ukitafuta kwa Nguvu...Kutafuta kujua Ukweli Huja na upendo na Amani kwa hiyo ukifika level za kujua Amani na Upendo vitakuja Pamoja..
na ndo maana hata kwenye Biblia imeandikwa..
"Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, Na huo utakatifu maana hakuna mtu atakayemwona bwana asipokuwa nao"
Tupate kidogo wadhamini..
Mwanasayansi ya Number Pythagoras yeye aligundua kuwa kurudi kwa nafsi na mapito yake kumefichwa kwenye Namba, Jina Na siku saa na hata mahali ulipozaliwa..(Akiamaanisha elimu ya Numerology)
Na akaichambua Kuanzia 1-9
Na kila Lifepath Huwa na Mapito yake..
Na huwa na Destiny Chaguzi ya hatima Yake..
SIku,mwezi na Mwaka unaozaliwa kwa pamoja vikijumuishwa unapata Life path (Mapito yako)..
Na Jina lako likijumlishwa linaleta (Destiny Yako)
Huyo ni Pythagoras
Umeongea point doctor.... Dejavu ni kidhihirosho Tosha kua.... na soul(nafsi) ipo through multiple lifetimes....Ok Nafsi ina umri mkubwa kuliko huo mwili ulionao wewe!
Katika Uislamu Wanaamini nafsi zote ziliumbwa kwa siku moja..Naaamini nao pia hivyo..
Sasa nafsi hubeba Matukio yote ya maisha yako na Huifazi matukio.hayo kwenye Kwa uchache au kwa wingi na kuyafunga kwenye Consicious part ya brain yako..
Na ndo maana Mtu aliyefungua hata robo ya Consciou..part ya Brain huweza kujua mengi na wengi humuita Genius..
Anaweza kufanya Uvumbuzi " Sio kwamba uvumbuzi huo unakuwa mpya" ila information hiyo kwenye mwili huu inakuwa mpya...
Hujawahi kukutana na DejaVu Effects???
Path life ni Mapito ambayo inabidi uyapitie ili kufika kwenye pumziko au kwa kiswahili cha sasa ili ujipate kwenye Destiny..Mwanasayansi ya Number Pythagoras yeye aligundua kuwa kurudi kwa nafsi na mapito yake kumefichwa kwenye Namba, Jina Na siku saa na hata mahali ulipozaliwa..(Akiamaanisha elimu ya Numerology)
Na akaichambua Kuanzia 1-9
Na kila Lifepath Huwa na Mapito yake..
Na huwa na Destiny Chaguzi ya hatima Yake..
SIku,mwezi na Mwaka unaozaliwa kwa pamoja vikijumuishwa unapata Life path (Mapito yako)..
Na Jina lako likijumlishwa linaleta (Destiny Yako)
Hapa nahitaji elimu zaidi Dr 🤔
Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.
Tuchambulie kila namba na mishe zake mkuuPath life ni Mapito ambayo inabidi uyapitie ili kufika kwenye pumziko au kwa kiswahili cha sasa ili ujipate kwenye Destiny..
Maana Yake unapozaliwa unakuja na Full package ya Muongozo wa maisha yako..
Tarehe mwezi na mwaka huwakilisha path life ..
NA jina lako huwakilisha Destiny yako..
Lets Say wewe ni Manyanza bashiri..
Ukiibadili Hii kuwa Numerological value..
13 + 1 + 14 + 25 + 1 + 14 + 26 + 1 +2 + 1 + 19 + 8 + 9 + 18 + 9=161
161= 1+6+1=8
So Destiny number ya Manyanza ni 8...
Manyanza kazaliwa 13/3/2003..
1+3+3+2+0+0+3=12=3..
So Manyanza ana Path life ya 3..
So manyanza alivyo yeye sasa hivi na alivyzaliwa yeye na tabia zake yeye zote na atakavyoishi yeye na njia zake zote zipo kwenye namba 3..Na hayo ndo mapito yake ila Hatima yake huwa namba 8
Nimezaliwa 16 September Mkuu.Path life ni Mapito ambayo inabidi uyapitie ili kufika kwenye pumziko au kwa kiswahili cha sasa ili ujipate kwenye Destiny..
Maana Yake unapozaliwa unakuja na Full package ya Muongozo wa maisha yako..
Tarehe mwezi na mwaka huwakilisha path life ..
NA jina lako huwakilisha Destiny yako..
Lets Say wewe ni Manyanza bashiri..
Ukiibadili Hii kuwa Numerological value..
13 + 1 + 14 + 25 + 1 + 14 + 26 + 1 +2 + 1 + 19 + 8 + 9 + 18 + 9=161
161= 1+6+1=8
So Destiny number ya Manyanza ni 8...
Manyanza kazaliwa 13/3/2003..
1+3+3+2+0+0+3=12=3..
So Manyanza ana Path life ya 3..
So manyanza alivyo yeye sasa hivi na alivyzaliwa yeye na tabia zake yeye zote na atakavyoishi yeye na njia zake zote zipo kwenye namba 3..Na hayo ndo mapito yake ila Hatima yake huwa namba 8
Ngoja nikufundishe kitu ijumlishe yote Tarehe,Mwezi na mwaka ..Nimezaliwa 16 September Mkuu.
DR Mambo Jambo
Hiyo itachukua Nyuzi zisizopungua 50 mkuu..Tuchambulie kila namba na mishe zake mkuu