Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza.
Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine.
Uzuri wa kuanzisha biashara mpya unapata jina haraka sana (Monopoly) na uta enjoy super abnormal Profits kwa kupanga bei elekezi,
TKama umewahi kuona kuna biashara huko Kenya, Ulaya, Marekani, n.k. ambayo unaona inaweza kufanyika hapa kwetu, Tiririka