Kila kitu kinapita kwenye hii dunia ila media imeniachia kumbukumbu nyingi sana

Kila kitu kinapita kwenye hii dunia ila media imeniachia kumbukumbu nyingi sana

Siri yangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
2,252
Reaction score
4,839
62085.jpg

1.Fred waaa
2.Baruani Mhuza BM
3. Ivona Kamuntu
4.Deokaji Makomba the simple Man
5.Rabecca Molesi
6. Glory Rabson mtoto wa Mama sabuni
7.Anjela Mwalik
Wewe unamkumbuka mtangazaji yupi?
 
Kwenye kiss fm ile zamani ilipoanza nilikuwa napenda kumsikiliza jamaa mmoja akiitwa Joachim Munga Luguru, englisha yake ilikuwa inanikosha sana, sijui alienda wapi yule, NB, kuna fursa kwa tv station yoyote kubeba watazamaji wa star tv kwa kupeperusha kipindi cha bbc swahili asubuhi na jioni, ni kipindi pendwa kwa tulio wengi.
 
Back
Top Bottom