Kila kitu kinapita kwenye hii dunia ila media imeniachia kumbukumbu nyingi sana

View attachment 3556842
1.Fred waaa
2.Baruani Mhuza BM
3. Ivona Kamuntu
4.Deokaji Makomba the simple Man
5.Rabecca Molesi
6. Glory Rabson mtoto wa Mama sabuni
7.Anjela Mwalik
Wewe unamkumbuka mtangazaji yupi?
Mtoto wa Mama Sabuni
●Fredwaaa (RIP)
●Dokta Roy Ndariki Maganga
●fredrick Bundara amka na Majoka victoria Fm kisha Sitasahu ya RFA
●Kamsunguuu
●Rahabu Fungo
●Juma Ahmed Balagaza JB
●Godwin Gondwe (Double G)
●Rebeca Mlesi
● Rejina .....(nimesahau baba yake)
●Somebody Mtono
●Wambura Mtani Wambura (Mzee wa Kimira)
●The current - Emmanuel Mkuwi.

You are tuning to Radio Free Africa-The sound of Africa.
Haya kiss Fm tutawamiss pia japo walikuwa wanashare watangazaji na RFA,
Ila namkumbuka sana Dj. Thobi (deep heavy vocal)

Jamani maelezo yote haya ni kuonesha hii media imetukuza, imetupa burudani, elimu(Jeee wajuaaa haha hahaaaa), imetufunza ustarabu (Jee huu ni ungwana? La hasha huu si ungwana), imetupa hamasa hasa zile simulizi za kuzamia za kuzamia South Africa zilinijenga na kuonesha maisha yataka upambane haswa (nakumbuka yule jamaa ndani ya sitasahau akiwa njiani kwenda South akikwepa border entry/mpaka akaingia porini na huko akakumbana na simba, ikambidi apande juu ya mti na ndizi zake za kutafuna, akala zile ndizi zikaisha akaanza kula maganda yake nayo yakaisha.)

Kuna siku nimemaliza advance nimeamka asubuhi nikawasha radio kile kipindi cha asubuhi nahisi ni goodmorning Africa, mtangazaji alisema hivi "Ukitaka kuanza maisha ni kuanzia leo usijivute kitandani" ile kauli ilifanya ninyanyuke na kuanza kusaka maisha.

Please RFA wekeni mkeka tuwachangie wakereketwa, mbona vilabu vya mipira vinachangiwa.

"Dont touch that dial, we will be back after short break....Kwichi kwichi kwichii Araaaa Efu eiiiii...."
 
View attachment 3556842
1.Fred waaa
2.Baruani Mhuza BM
3. Ivona Kamuntu
4.Deokaji Makomba the simple Man
5.Rabecca Molesi
6. Glory Rabson mtoto wa Mama sabuni
7.Anjela Mwalik
Wewe unamkumbuka mtangazaji yupi?
Ni kwa sababu media zilikuwa chache, ndio sababu ya wewe kuwakariri hao wote!

Hakuna aliekuwa na maajabu hapo zaidi ya Marehemu Fred fidelis (fredwaa) nimeanza kumsikia RfA 1999
 
Halafu kuna mimi ambaye sijawahi sikiliza Kiss what.... angalao BBC naangaliwa kwa dhumuni maalum
 
Mtoto wa Mama Sabuni
●Fredwaaa (RIP)
●Dokta Roy Ndariki Maganga
●fredrick Bundara amka na Majoka victoria Fm kisha Sitasahu ya RFA
●Kamsunguuu
●Rahabu Fungo
●Juma Ahmed Balagaza JB
●Godwin Gondwe (Double G)
●Rebeca Mlesi
● Rejina .....(nimesahau baba yake)
●Somebody Mtono
●Wambura Mtani Wambura (Mzee wa Kimira)
●The current - Emmanuel Mkuwi.

You are tuning to Radio Free Africa-The sound of Africa.
Haya kiss Fm tutawamiss pia japo walikuwa wanashare watangazaji na RFA,
Ila namkumbuka sana Dj. Thobi (deep heavy vocal)

Jamani maelezo yote haya ni kuonesha hii media imetukuza, imetupa burudani, elimu(Jeee wajuaaa haha hahaaaa), imetufunza ustarabu (Jee huu ni ungwana? La hasha huu si ungwana), imetupa hamasa hasa zile simulizi za kuzamia za kuzamia South Africa zilinijenga na kuonesha maisha yataka upambane haswa (nakumbuka yule jamaa ndani ya sitasahau akiwa njiani kwenda South akikwepa border entry/mpaka akaingia porini na huko akakumbana na simba, ikambidi apande juu ya mti na ndizi zake za kutafuna, akala zile ndizi zikaisha akaanza kula maganda yake nayo yakaisha.)

Kuna siku nimemaliza advance nimeamka asubuhi nikawasha radio kile kipindi cha asubuhi nahisi ni goodmorning Africa, mtangazaji alisema hivi "Ukitaka kuanza maisha ni kuanzia leo usijivute kitandani" ile kauli ilifanya ninyanyuke na kuanza kusaka maisha.

Please RFA wekeni mkeka tuwachangie wakereketwa, mbona vilabu vya mipira vinachangiwa.

"Dont touch that dial, we will be back after short break....Kwichi kwichi kwichii Araaaa Efu eiiiii...."
Regina Mwalekwa/Mziwanda.
 
Inahuzunisha sana Sahara media ilikuwa ni tishio, kulikua na gazeti la Msanii Afrika pia

Umenikumbusha Mbali huyo wa Kiss FM Thoby 'the Splash' jamaa alikua na sauti nzito halafu anaongea taratibu English imenyooka,

Halafu kulikua na Lazaro Matalange wa FRA pia
 
Kuna jamaa alikuwa anajiita anko Sam alikuwa anakaa sana kwenye kipindi na Glory
 
Yusuph Magasha kwenye je wajua na sintasahau! Ndio kusema ndo bac tena!? Inahudhunisha sana
 
Inahuzunisha sana Sahara media ilikuwa ni tishio, kulikua na gazeti la Msanii Afrika pia

Umenikumbusha Mbali huyo wa Kiss FM Thoby 'the Splash' jamaa alikua na sauti nzito halafu anaongea taratibu English imenyooka,

Halafu kulikua na Lazaro Matalange wa FRA pia
Acha kabisaaa
 
Hi
Mtoto wa Mama Sabuni
●Fredwaaa (RIP)
●Dokta Roy Ndariki Maganga
●fredrick Bundara amka na Majoka victoria Fm kisha Sitasahu ya RFA
●Kamsunguuu
●Rahabu Fungo
●Juma Ahmed Balagaza JB
●Godwin Gondwe (Double G)
●Rebeca Mlesi
● Rejina .....(nimesahau baba yake)
●Somebody Mtono
●Wambura Mtani Wambura (Mzee wa Kimira)
●The current - Emmanuel Mkuwi.

You are tuning to Radio Free Africa-The sound of Africa.
Haya kiss Fm tutawamiss pia japo walikuwa wanashare watangazaji na RFA,
Ila namkumbuka sana Dj. Thobi (deep heavy vocal)

Jamani maelezo yote haya ni kuonesha hii media imetukuza, imetupa burudani, elimu(Jeee wajuaaa haha hahaaaa), imetufunza ustarabu (Jee huu ni ungwana? La hasha huu si ungwana), imetupa hamasa hasa zile simulizi za kuzamia za kuzamia South Africa zilinijenga na kuonesha maisha yataka upambane haswa (nakumbuka yule jamaa ndani ya sitasahau akiwa njiani kwenda South akikwepa border entry/mpaka akaingia porini na huko akakumbana na simba, ikambidi apande juu ya mti na ndizi zake za kutafuna, akala zile ndizi zikaisha akaanza kula maganda yake nayo yakaisha.)

Kuna siku nimemaliza advance nimeamka asubuhi nikawasha radio kile kipindi cha asubuhi nahisi ni goodmorning Africa, mtangazaji alisema hivi "Ukitaka kuanza maisha ni kuanzia leo usijivute kitandani" ile kauli ilifanya ninyanyuke na kuanza kusaka maisha.

Please RFA wekeni mkeka tuwachangie wakereketwa, mbona vilabu vya mipira vinachangiwa.

"Dont touch that dial, we will be back after short break....Kwichi kwichi kwichii Araaaa Efu eiiiii...."
Hii redio imetupa burudani mno
 
View attachment 3556842
1.Fred waaa
2.Baruani Mhuza BM
3. Ivona Kamuntu
4.Deokaji Makomba the simple Man
5.Rabecca Molesi
6. Glory Rabson mtoto wa Mama sabuni
7.Anjela Mwalik
Wewe unamkumbuka mtangazaji yupi?
Dee 7 na Dj Malis waliifanya 2006-2007 miaka yangu Bora sana katika usikilizaji wa muziki. Kuna mmoja kati Yao ameshafariki sikumbuki ni nani Kwa hakika ila RIP to him.
 
Kwakweli nakumbuka mbali sana kipindi cha hakuna kulala na Deokaji Makomba simu zinapigwa watu wanatuma salamu daah
 
Back
Top Bottom