The king 07
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 1,224
- 2,930
Unavyowaza ndio hivyo hivyoRostam alivyoinunua Nation Media Group, ghafla Sahara Media Group inafilisiwa.
Huenda ni coincidence tu, kutakuwa hakuna uhusiano
Unavyowaza ndio hivyo hivyoRostam alivyoinunua Nation Media Group, ghafla Sahara Media Group inafilisiwa.
Huenda ni coincidence tu, kutakuwa hakuna uhusiano
Siyo kufilisiwa , ni winding up business.Wanafilisiwa
OkSiyo kufilisiwa , ni winding up business.
Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kufilisiwa ni kukamata mali za mfanya biashara.
Winding up ni kuvunja jungu kabisa na kufuta kampuni!
🤣Unavyowaza ndio hivyo hivyo
Kwakweli nakumbuka mbali sana kipindi cha hakuna kulala na Deokaji Makomba simu zinapigwa watu wanatuma salamu daah