Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

Joined
Dec 11, 2024
Posts
94
Reaction score
240
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil.

God and devil are the same

Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki

Wanampa mtu utajiri na umasikini

Wanatoa laana .

N.k

So usipokuwa makini you will hustle in vain forever

Lazima ukae na hawa coordinator in order to reap something great.


So devil is God and God is devil

You need to understand this .
 
Shetani na Mungu ni stori tu kama stori nyingine za sungura na fisi. Hakuna vitu kama hivyo.
 
Mungu na shetani ni Tom and Jerry

Mmoja akifa tu Movie inaisha
 
the world is not a place for justice,may be somewhere else.
 
Screenshot_20250115-162658_1.jpg
 
Back
Top Bottom