kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
1. Maisha ya Duniani ni Uongo
2. Unachowaza ni Uongo
3.Umaskini ni Uongo
4.Utajiri ni uongo
5.Furaha niuongo
6.Huzuni ni uongo
7.Tarehe na siku ni Uongo
8.Usiku na mchana ni Uongo
9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa
10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu zaidi...Mfano mifupa yako itakaa duniani zaidi ya miaka 1000 ila wewe unaishi maika chini ya 100 hivyo hivyo kudhani ww ni bora kuliko kisicho hai ni uongo.
11.Vitakavyo ishi milele ni vile visivyo hai..kama Maji na Miamba,hivyo ukiliona jiwe liheshimu
Ukweli ni kwamba Ubongo unatudanganya...
Kabla ya kuzaliwa hatukua kitu,hatukua chochote ndivyo itakavyo kua siku ukifa....
Utarudi katika hali ileile ya kutokuepo...
Hivyo kila kitu ni Uongo...
Ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai.....ukaushwe au ubaki mifupa..ukiwa hai utaishi maisha mafupi ila ukifa mifupa yako itaishi maisha marefu kuliko uhai wako.
HIVYO dunia ni uongo na maisha yetu ni uongo kuna sehemu Mungu kaweka chip ambayo inatufanya tunaishi uongo...
Hivyo hapa duniani Tunaishi kwa ujasili wa uongo wakati ukweli sisi wenyewe ni uongo
Sisi na Wanyama wengine ni sawa kinacho tutofautisha ni kwamba Mungu alituumba tuje kufanya usimamizi wa dunia hivyo lazima angetupa kitu cha ziada,ambacho ni akili nyingi na Utashi...
Hivyo sisi ni wanyama Mameneja.....
If the MEANS CAN'T CHANGE THE END OF LIFE,as we are all ending at the same point...... what all means of life mean then...???SO LIFE NIUONGO