NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
. Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri Massawe aliandika ujumbe wa maandishi kwenye karatasi na kuuacha mezani ukisema; “Mama usilie, nimeshindwa kufikia malengo, ninajua nimewakwaza wengi."
Chanzo Mwananchi 25th May 2024
- Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu