. Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri Massawe aliandika ujumbe wa maandishi kwenye karatasi na kuuacha mezani ukisema; “Mama usilie, nimeshindwa kufikia malengo, ninajua nimewakwaza wengi."
Dini usiposimama unaanguka….maisha ni kusimama mwenyewe kwa miguu yako bila kutegemea chochote na ukitegemea mtu au kitu jitahidi usizame mazima ili kikikuponyoka ak kukugeuka usianguke mazima