Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Asante mkuu, hawa ramitano ni kampuni ipo hapa Dar? najisajili online au ni physically?
Jisajiri na wallet za bitcoin ushauri wacheki ramitano.
japo wana prosses ndefu ya kukukubali ambayo haina gharama ila ni usumbufu tu wa kutaka kuhakikisha huwadanganyi katika doc zako.
Ukiwa veryfied utaweza kuuza na kununua..
Document watakazo hitaji vitambulisho hasa vya uaia au teseni ya gari cheti cha kuzaliwa,pia utawatumia picha yako ukiwa umejipiga huku umeshika kitambulisho chako.
Anyway utawachukia mwanzo ila ukisha kuwa verified utaenjoy.