Dollar unaweza kuitoa cash ukiamua kupata cash itategemeana na mfumo unaotumia kama unasupport kupata cash as pesa ilivyokuwa katika mfumo wa kielectronic
Pia hata usipoweza kupata dollar as dollar unaweza ukfanya withdraw moja kwa moja kwa pesa nyingine bila makato
mfano watu wa forex wengi wanweza kutoa dollar kutoka online kuja tsh bila makato ya aina yoyote ile, kwahiyo bado nadharia yenu inabeki pale pale kuwa ni manufaa ya wenye akili wakitumia pesa zenu
Hata ukiwa na dollar kwenye mfumo wa kielectronics bado huwezi itoa in term of cash ikiwa kama dollar itakubidi uibadili thamani ije katika pesa ya nchi husika ndo uweze kuwa na cash.
Ukiwa na dollar unaweza kuitoa kwa pesa nyingine eneo lolote na sehemu yoyote itategemeana tu ipo katika account ya mfumo upi
watu wanatumiwa dollar daily na wanatumia kwa manunuzi hata hapa hapa kwetu
kwahiyo butcoin haiwezi kufanyakika kirahisi kwa malipo wala kuitoa ndio maana nasema bitcoin ni kama maandazi ni lazima uuze andazi upate hela ila hauwezi kubadili andazi kwa mkate
Hata ukiwa na dollar kwenye mfumo wa kielectronics bado huwezi itoa in term of cash ikiwa kama dollar itakubidi uibadili thamani ije katika pesa ya nchi husika ndo uweze kuwa na cash.
Kama haipo katika taasisi inayotambuliwa na bank ya dunia ama chini ya sheria ya serikali fulani
Ni ishara tosha kuwa hii ni project ya watu kupata pesa kutoka kwa wanyonge wachache tu ni sawa na sandakarawe unarudi pale pale tuu
Wakifunga bitcoin yao basi unakuwa umekula hasara ila tz wakisema hawapokei dollar hata kenya unaweza ukaenda kuitolea ukapata ksh na ukaja kutumia kwa tsh
Na kwanini bitcoin inaonekana haina msimamo wa kibei katika ununuaji ndani ya soko ni sababu watu ndiyo wanao nunua na siyo taasisi chini ya sheria flani.
Sasa kubeti ni bahati nasibu huwezi ukaanza kuwashauri watu wajiunge katika kubeti wakati hauna uhakika wa faida
hapo umehitimisha sasa kuweka bitcoin ni sawa na betting kama nilivyokueleza mwanzo na hapa umekuja kwa ajili ya kupata watu
nawe upate faida wakijiunga kwako
thisi is not fear
Ni sawa na kusema biashara ya kubeti haina faida kwa mtu wa hali ya chini na kila kila siku makampuni mapya yanafunguliwa.