Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Angalia attachement hizi ndo utajua kile nacho sema mwezi wa 10 mwaka jana ilikua inauzwa milioni 8 kwa bitcoin 1 na mwaka huu mwezi wa sita inauzwa 17 hadi 22 milion kwa bitcoin moja.

Hivyo kuna kipindi cha kuwekeza na kipindi cha kuuza.


Na fahamu thamani yake ni ya kupanda na kushuka ni ya dunia nzima kama ilivyo kwa dollar hivyo ikishuka haijalishi unatumia wallet gani itashuka na ikipanda haijalishi unatumia wallet gani itashuka.View attachment 1120553View attachment 1120555

Mkuu nifafanulie msg hii...
Kipindi hiki si vha kuinunua bitcoin kwa wafanya biashara wa bitcoin kipindi hiki wanaoo nunua ni wale wanaoitumia bitcoin kwenye manunuzi yao.

Swali:

mfano wa matumizi hayo ni upi
Ina maana wote wanaouza kipindi hiki hupata hasara.

Na kama unashauri kipindi hiki tusinunue, sasa unamaana biashara hii husimama na kusubiri kipindi cha mavuno?
 
Zaidob
Hata ukiwa na dollar kwenye mfumo wa kielectronics bado huwezi itoa in term of cash ikiwa kama dollar itakubidi uibadili thamani ije katika pesa ya nchi husika ndo uweze kuwa na cash.

Bitcoin hivyo hivyo ukiwa nayo nilazima uibadili ije katika pesa ya nchi husika kwa thamani yake ndiyo uitoe.

Tofauti hapa kati ya bitcoin na pesa nyingine ni hii.

Unaweza ukaibadili dollar katika tsh na ukaamua uitoe kwenye bank ukaenda bank bank wakakupa tsh

Bitcoin ili upate tsh ni lazima uiuze kwa mtu anaye ihitaji mwenye tsh sababu mabenk yote duniani bado hayajaitambua hivyo ndoomaana makampuni mengi ya wallet za bitcoin yana wauuzaji na wanunuaji.

Na kwanini bitcoin inaonekana haina msimamo wa kibei katika ununuaji ndani ya soko ni sababu watu ndiyo wanao nunua na siyo taasisi chini ya sheria flani.

Ni kweli kama unavyosema inawezekana ikawa haina faida lakini sijui kama unaifuatilia vile inavyo anza kuwa na nguvu za kufanya miamala mbalimbali ya kuuza na kununua kwa sasa katika mitandao.

Ni sawa na kusema biashara ya kubeti haina faida kwa mtu wa hali ya chini na kila kila siku makampuni mapya yanafunguliwa.
[/QUOTE

Zaidi ya bit coin kuna kampuni nyingine of the same nature. Na kama zipo, je ipo iliyo na fixed exchange rate kama ilivyo ktk makampuni ya simu unapotaka kutoa pesa?

Ili niwe authorized kuwa bit coin wallet. Vigezo gn hutumika
 
Unamuuzia nani ?

Na kama Bitcoin ni pesa, kwanini inunuliwe na kuuzwa tena kwa pesa ya kawaida ?
Umeambiwa haijatambulika na taasisi za kifedha ndo maana ukitaka kuiwithdraw lazma uibadili kwenda katika fedha inayotambulika kama tsh,dollars, euro, pound etc.
 
Kwa waliopo nje ya Tanzania unaweza kununua crypto kupitia skrill, crypto is the future money is just numbers
 
1124050
Screenshot_20190610-215434_Mycelium Wallet.jpg

Nimenunua bitcoin wakati ilipokuwa inauzwa laki nne tsh. Leo nimepata faida zaida ya milioni 18. Wala sina mpango wa kuuza hivi karibuni.
 
Shida ya bitcoin withdraw yake ni kwamba lazima uuze sio ufanye kama unavyotoa pesa zingine
Kingine bitcoin ni kama sandakarawe kuweza kupata faida, maana unakaa nayo hujui ni kwa mda gani itapanda ikupe faida
Naweza sema waanzilishi wa bitcoin wao ndio wanapata faida
Ukiata kuniamini mimi kuwa hii kitu ni sandakarawe kwanini withdraw yake unatakiwa kuuza?

Ukikosa mteja wa kununua hiyo bitcoin inabakia kuwa yakwako mwenyewe tu unakuwa unaingalia katika wallet yako
sishauri kwa walala hoi kujiunga na hiii issue bora ukabet tu kuliko huku bitcoin

Siwakandii waleta mada ila bitcoin haipo katika kitu unachoweza kusema biasha ya kukusaidia kiuchumi ama biashara ya kuifanya
ni bora pesa yako ukainunulia Hisa risk ni ndogo kuliko bitcoin

Mkuu kwa sasa bei ya bitcoin bado ipo chini sana (20,000,000/= is nothing). Nimefanya technical analysis nimegundua 1btc itakuwa na thamani ya zaidi 100,000,000/= tsh.
Brother if u have btc don sell.
 
Back
Top Bottom