WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 283
Badala ya hizo crypto, serikali iongeze hazina ya Dhahabu na Almasi, technology ina change kwa speed kali kuliko unavyowaza and bitcoin is like a bubble, one day wenye pini (CIA) wakiamua kulitoboa litapasuka pwaaaa!!!Kwenye innovation hawataweza maana wameshindwa hata kuiwezesha tovuti ya NIDA iwe user friendly wataweza kweli kutengeneza block chain yao solution ya haraka ni serikali kununua hizi coin za bitcoin haraka iwezekanavyo na private key zitunzwe kwa mkuu chato