Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Et mkuu wa chato.. [emoji3][emoji3]
Kwenye innovation hawataweza maana wameshindwa hata kuiwezesha tovuti ya NIDA iwe user friendly wataweza kweli kutengeneza block chain yao solution ya haraka ni serikali kununua hizi coin za bitcoin haraka iwezekanavyo na private key zitunzwe kwa mkuu chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu iliibuka mwaka 2009 wakati wa financial crisis huko US halafu nadharia zote za blockchain zilikuwa zimeandikwa na watafiti wa kimarekani miaka kadhaa kabla ya bitcoin kuibuliwa na mtu aliyejipa jina la bandia la SATOSHI NAKAMOTO
Conspiracy theories expert, they never miss anywhere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bitcoin ni ujanja ujanja tu wa kuingiza watu wote duniani kwenye uchumi wa ibilisi, hakuna kuuza wala kununua bila ya kuwa na namba ya ibilisi, nilisikia facebook wamekuja na wazo la digital currency, muda utaongea zaidi..
 
Wakuu kuna ambaye anafahamu mfumo wa Cryptocurrency especially Dagcoin? Nway Dagcoin ni cryptocurrency ambayo kwa sasa inafanya vizuri baada ya Bitcoin. Ni uwekezaji wa muda mrefu na faida zake hutokana na value ya currency inapokuwa juu! Karibuni sana tuweze kulijadili hili na binafsi nipo nimeshanunua coins
082c1f5f-8979-46ea-8a56-4305e0475045.jpg
 
Wakuu kuna ambaye anafahamu mfumo wa Cryptocurrency especially Dagcoin? Nway Dagcoin ni cryptocurrency ambayo kwa sasa inafanya vizuri baada ya Bitcoin. Ni uwekezaji wa muda mrefu na faida zake hutokana na value ya currency inapokuwa juu! Karibuni sana tuweze kulijadili hili na binafsi nipo nimeshanunua coins View attachment 1352598
Bei yake ipoje?
 
Bei yake ipoje?
Bei inategemea na package! Lkn ifahamike kuwa hii package unayonunua ni pesa zako ambazo zinawekwa katika mfumo huo wa cryptocurrency! Faida yako ni pale value inapokuwa juu ndivyo na wewe unavyofaidika

Mfano zipo package kuanzia elfu 40, mimi nilianza na package ya 156k ambapo nilipata Dagcoin 103

Unaweza ukasoma zaidi na ukiwa interested tuwasiliane,

Acha majibu ya ngebe kijana..nilidhani una kitu utaelewa kumbe unamangangamanga tu juu ya hii technology adhimu. Unadhani unaijua Cryptocurrency vizuri kuzidi team ya financial advisor wa bill gate? Iliyomshauri awekeze mamilion kwenye Bitcoin? Na other altcoins?

Punde nitaandika hapa kidogo simple but informative kuihusu Bitcoin achana na maessay yako ya kizamani marefu kama tamthilia ya isidingo.

Nimepitia makala zako nyingi yenye replies nyingi ni 69 zingine zote hazifiki reply 20. Kwanini unaandika kizamani wewe kocha sijui kocha wa timu gani? Ukitaka kuandika makala ndefu jifunze skills and techniques za modern writings zenye kuvutia na kuchochea hamu ya kuendelea kusoma article kuna watu kibao hapa bongo wanaondika makala simple zenye namna ya kukufanya uendelee kusoma andishi husika hadi mwisho bila kujalisha content ikoje. Kocha ukiendelea kuandika kama mwandishi wa Rai au Mzalendo ya mwaka 47 utajikuta unasoma na kujijibu mwenyewe thread zako hapa JF maana you don't fit in this Era readers world.
kawe mwandishi wa habari uvutie hadhira ila elimu bora haihitaji mapambo bali content (thread inaeleweka na kusomeka sasa sijui ulitaka mivuto ipi? kujifunza hakupo hivyo badilika) kama mtu ni mvivu he/she is not fit for it
 
Hizo writings zenye kuchochea kusoma unazoandika wewe zinachochea wajinga wanaotaka kuambiwa kile kitu ''masikio yanataka kusikia'' bila shaka. Lakini mara nyingi inakuwa ni ulaghai wa kuwavutia watu! Katika maisha yangu nimejifunza kukaa mbali na watu wenye kauli nzuri sana za kunipembeleza ''nichangamkie fursa fulani''.
Mkuu hii reply ingawa ni ya siku nyingi, katika kuipitia nimevutiwa nayo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau husika na kuchwa wekwa hapo juu
Nimefungua uzi huu ili kutaka kujua michongo mbalimbali ya BITCOIN hapa bongo na hata mbele huko.

Nimepita Telegram nimekutana na mchongo wa Bitcoin na umeelekeza kuwa utapata kiasi kadhaa cha bitcoin endapo utaview ads ndan ya channel yao na kukamilisha vigezo kadhaa.

Na wamewek kiwango minimum cha kucash out pesa.

Lakini pia ili uweze kufanya hivyo utahitajika kuwa na Blockchain Wallet ya kupatia pesa hizo.

Nipo katika majaribio hayo ili kuona kama itakuwa kweli.

Ads unazipata kila baada ya 30seconds
Kama utahitaj kuwa mmoja wa watu watakaokuwa kwenye majaribio hayo unaweza kuja kwa link hii

BTC Ads
Na mwisho wa siku kufahamu ukweli
Kujaribu huwa na faida au hasara ila uvumilivu huweza kulet kimojawapo

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izo processes zimekaa kidukuzi dukuzi....

i_trust_no_one_but_the_one_over_mi_head.
 
Siku ukifanikiwa kuWithdraw usisahau kutuletea mrejesho
Wadau husika na kuchwa wekwa hapo juu
Nimefungua uzi huu ili kutaka kujua michongo mbalimbali ya BITCOIN hapa bongo na hata mbele huko.

Nimepita Telegram nimekutana na mchongo wa Bitcoin na umeelekeza kuwa utapata kiasi kadhaa cha bitcoin endapo utaview ads ndan ya channel yao na kukamilisha vigezo kadhaa.

Na wamewek kiwango minimum cha kucash out pesa.

Lakini pia ili uweze kufanya hivyo utahitajika kuwa na Blockchain Wallet ya kupatia pesa hizo.

Nipo katika majaribio hayo ili kuona kama itakuwa kweli.

Ads unazipata kila baada ya 30seconds
Kama utahitaj kuwa mmoja wa watu watakaokuwa kwenye majaribio hayo unaweza kuja kwa link hii

BTC Ads
Na mwisho wa siku kufahamu ukweli
Kujaribu huwa na faida au hasara ila uvumilivu huweza kulet kimojawapo

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money:
IPO hivi kuna coin ilizinduliwa Leo ni siku ya 18 imefikia watu 1million na wanategemea kufikia watu 100mil sasa mchongo ni uleule[emoji40]tulisema vitu vya China fake wakaleta kitu og[emoji654] corona virus tumeshindwa Ku afford , bora ufanye sala mapema hlf ukute mungu yupo kuliko kuacha kabisa halafu ukakuta anakusubiri

Utakapo jiunga wanatoa ecoin 900 right now =$10 [emoji1541]gusa link jiunge zen acha mambo ya watu

Have nothing to loss , didn't put any money, is better to be early that to want to come in when you see its paying [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Cryptocurrency is the future money

Unachotakiwa ni kujiunga tu na siyoooo kufanya investment yoyote kwa kutoa pesa yako gusa link jiunge chukua coin zako hifadhi tuone [emoji40]hatufanyi account management kwahiyo usiogopeMoney:
IPO hivi kuna coin ilizinduliwa Leo ni siku ya 18 imefikia watu 1million na wanategemea kufikia watu 100mil sasa mchongo ni uleule[emoji40]tulisema vitu vya China fake wakaleta kitu og[emoji654] corona virus tumeshindwa Ku afford , bora ufanye sala mapema hlf ukute mungu yupo kuliko kuacha kabisa halafu ukakuta anakusubiri

Utakapo jiunga wanatoa ecoin 900 right now =$10 [emoji1541]gusa link jiunge zen acha mambo ya watu

Have nothing to loss , didn't put any money, is better to be early that to want to come in when you see its paying [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Cryptocurrency is the future money

Unachotakiwa ni kujiunga tu na siyoooo kufanya investment yoyote kwa kutoa pesa yako gusa link jiunge chukua coin zako hifadhi tuone [emoji40]hatufanyi account management kwahiyo usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom