Ungeeleza basi hata kwa ufupi uhusiano uliopo kati ya bitcoin na mark of the beastNaona mnanizungumzia! Haya leteni hoja zenu zenye nguvu, niulizeni maswali yenu niwafafanulie uhusiano wa Bitcoin algorithm na mark of the beast 666
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeeleza basi hata kwa ufupi uhusiano uliopo kati ya bitcoin na mark of the beastNaona mnanizungumzia! Haya leteni hoja zenu zenye nguvu, niulizeni maswali yenu niwafafanulie uhusiano wa Bitcoin algorithm na mark of the beast 666
kabisa mkuuUngeeleza basi hata kwa ufupi uhusiano uliopo kati ya bitcoin na mark of the beast
Kwenye innovation hawataweza maana wameshindwa hata kuiwezesha tovuti ya NIDA iwe user friendly wataweza kweli kutengeneza block chain yao solution ya haraka ni serikali kununua hizi coin za bitcoin haraka iwezekanavyo na private key zitunzwe kwa mkuu chato
Conspiracy theories expert, they never miss anywhere.Hii kitu iliibuka mwaka 2009 wakati wa financial crisis huko US halafu nadharia zote za blockchain zilikuwa zimeandikwa na watafiti wa kimarekani miaka kadhaa kabla ya bitcoin kuibuliwa na mtu aliyejipa jina la bandia la SATOSHI NAKAMOTO
666 ndio nini hiyo "mark of the beast "Ungeeleza basi hata kwa ufupi uhusiano uliopo kati ya bitcoin na mark of the beast
Alama ya mnyama aliyezungumziwa kwenye kitabu cha ufunuo
Bei yake ipoje?Wakuu kuna ambaye anafahamu mfumo wa Cryptocurrency especially Dagcoin? Nway Dagcoin ni cryptocurrency ambayo kwa sasa inafanya vizuri baada ya Bitcoin. Ni uwekezaji wa muda mrefu na faida zake hutokana na value ya currency inapokuwa juu! Karibuni sana tuweze kulijadili hili na binafsi nipo nimeshanunua coins View attachment 1352598
Bei inategemea na package! Lkn ifahamike kuwa hii package unayonunua ni pesa zako ambazo zinawekwa katika mfumo huo wa cryptocurrency! Faida yako ni pale value inapokuwa juu ndivyo na wewe unavyofaidikaBei yake ipoje?
Does localbitcoins.com sell Ether!?
kawe mwandishi wa habari uvutie hadhira ila elimu bora haihitaji mapambo bali content (thread inaeleweka na kusomeka sasa sijui ulitaka mivuto ipi? kujifunza hakupo hivyo badilika) kama mtu ni mvivu he/she is not fit for itAcha majibu ya ngebe kijana..nilidhani una kitu utaelewa kumbe unamangangamanga tu juu ya hii technology adhimu. Unadhani unaijua Cryptocurrency vizuri kuzidi team ya financial advisor wa bill gate? Iliyomshauri awekeze mamilion kwenye Bitcoin? Na other altcoins?
Punde nitaandika hapa kidogo simple but informative kuihusu Bitcoin achana na maessay yako ya kizamani marefu kama tamthilia ya isidingo.
Nimepitia makala zako nyingi yenye replies nyingi ni 69 zingine zote hazifiki reply 20. Kwanini unaandika kizamani wewe kocha sijui kocha wa timu gani? Ukitaka kuandika makala ndefu jifunze skills and techniques za modern writings zenye kuvutia na kuchochea hamu ya kuendelea kusoma article kuna watu kibao hapa bongo wanaondika makala simple zenye namna ya kukufanya uendelee kusoma andishi husika hadi mwisho bila kujalisha content ikoje. Kocha ukiendelea kuandika kama mwandishi wa Rai au Mzalendo ya mwaka 47 utajikuta unasoma na kujijibu mwenyewe thread zako hapa JF maana you don't fit in this Era readers world.
Mkuu hii reply ingawa ni ya siku nyingi, katika kuipitia nimevutiwa nayo sana.Hizo writings zenye kuchochea kusoma unazoandika wewe zinachochea wajinga wanaotaka kuambiwa kile kitu ''masikio yanataka kusikia'' bila shaka. Lakini mara nyingi inakuwa ni ulaghai wa kuwavutia watu! Katika maisha yangu nimejifunza kukaa mbali na watu wenye kauli nzuri sana za kunipembeleza ''nichangamkie fursa fulani''.
izo processes zimekaa kidukuzi dukuzi....
i_trust_no_one_but_the_one_over_mi_head.
Wadau husika na kuchwa wekwa hapo juu
Nimefungua uzi huu ili kutaka kujua michongo mbalimbali ya BITCOIN hapa bongo na hata mbele huko.
Nimepita Telegram nimekutana na mchongo wa Bitcoin na umeelekeza kuwa utapata kiasi kadhaa cha bitcoin endapo utaview ads ndan ya channel yao na kukamilisha vigezo kadhaa.
Na wamewek kiwango minimum cha kucash out pesa.
Lakini pia ili uweze kufanya hivyo utahitajika kuwa na Blockchain Wallet ya kupatia pesa hizo.
Nipo katika majaribio hayo ili kuona kama itakuwa kweli.
Ads unazipata kila baada ya 30seconds
Kama utahitaj kuwa mmoja wa watu watakaokuwa kwenye majaribio hayo unaweza kuja kwa link hii
BTC Ads
Na mwisho wa siku kufahamu ukweli
Kujaribu huwa na faida au hasara ila uvumilivu huweza kulet kimojawapo
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ku Withdraw au ndo zinakuwa kama pambo?Ecoin - World's fastest growing cryptocurrency
Gusa [emoji1546]link unachotakiwa jiunge kupitia email yako zen utapata ecoin zako zen zihifadhi acha mambo ya watu kikubwa usiweke pesa yoyote kununua ecoin wew jiunge chukua zako kaa pembeni [emoji40]ecoin 1000=$10 right now
Sent using Jamii Forums mobile app