Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Kwenye innovation hawataweza maana wameshindwa hata kuiwezesha tovuti ya NIDA iwe user friendly wataweza kweli kutengeneza block chain yao solution ya haraka ni serikali kununua hizi coin za bitcoin haraka iwezekanavyo na private key zitunzwe kwa mkuu chato
Badala ya hizo crypto, serikali iongeze hazina ya Dhahabu na Almasi, technology ina change kwa speed kali kuliko unavyowaza and bitcoin is like a bubble, one day wenye pini (CIA) wakiamua kulitoboa litapasuka pwaaaa!!!
 
CIA hawawezi kuitoboa wakati ndio wako nyuma ya hiyo kitu
 
Huu ushauri unaonekana kama mojawapo ya ushauri wa kijinga sana lakini kuna siku mtanikumbuka

Tena kama inawezekana waanze mapema sana mwaka huu ikiwezekana hata kwa kuuza ile Airbus inayoshinda imepaki

over
Kwa nchi zenye akili zilinunua bitcoin tokea ilipokua inauzwa chini ya 1USD!! Na sio hivyo tu, zimeenda mbali zaidi na kuwekeza kwenye blockchain technology kuhakikisha hawabaki nyuma!

Kama hujui juzi juzi BoT imetoa tangazo la kupiga marufuku crypto na matumizi yake hapa nchini, sasa jiulize kwa nchi yenye mtazamo huu itafwata ushauri wako kweli?
 
Badala ya hizo crypto, serikali iongeze hazina ya Dhahabu na Almasi, technology ina change kwa speed kali kuliko unavyowaza and bitcoin is like a bubble, one day wenye pini (CIA) wakiamua kulitoboa litapasuka pwaaaa!!!
Unaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye mpini?
 
Kwa nchi zenye akili zilinunua bitcoin tokea ilipokua inauzwa chini ya 1USD!! Na sio hivyo tu, zimeenda mbali zaidi na kuwekeza kwenye blockchain technology kuhakikisha hawabaki nyuma!

Kama hujui juzi juzi BoT imetoa tangazo la kupiga marufuku crypto na matumizi yake hapa nchini, sasa jiulize kwa nchi yenye mtazamo huu itafwata ushauri wako kweli?
Afadhari hata JK alikuwa anaelewa dunia inaendaje lakini huyu ngosha yeye anajua uchumi ni hardware (ndege,madaraja,maviwanja ya ndege nk.)
 
CIA anahusika vipi na bitcoin?
Unaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye mpini?

Mimi mwenyewe nina Ethereum token yangu mzee, so don't ask me about decentralized. Kuhusu uhusika wa CIA na Bitcoin, endelea kufuatilia utaelewa, na sijasema mpini, nimesema pini (inayotoboa puto)
 
Naona hukunielewa,....

Unaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye pini?

Hili ndilo swali langu la msingi, naomba majibu.
 
Unaelewa maana ya "decentralized"? alafu una maanisha nini unaposema CIA ndiye mwenye mpini?
Hii kitu iliibuka mwaka 2009 wakati wa financial crisis huko US halafu nadharia zote za blockchain zilikuwa zimeandikwa na watafiti wa kimarekani miaka kadhaa kabla ya bitcoin kuibuliwa na mtu aliyejipa jina la bandia la SATOSHI NAKAMOTO
 
CIA hana uhusiano wowote wala mamlaka juu ya bitcoin. Hii ndio point yangu ya msingi.
 
Naona umechanganywa hapo na decentralized lakini kaa utambue kuwa bado developer wa hii blockchain ya bitcoin anao uwezo wa kufanya mabadiliko na alishawahi kufanya hivyo miaka michache nyuma kwahiyo hilo neno decentralized lisikutawanye ubongo
 
Kwa nchi zenye akili zilinunua bitcoin tokea ilipokua inauzwa chini ya 1USD!! Na sio hivyo tu, zimeenda mbali zaidi na kuwekeza kwenye blockchain technology kuhakikisha hawabaki nyuma!

Kama hujui juzi juzi BoT imetoa tangazo la kupiga marufuku crypto na matumizi yake hapa nchini, sasa jiulize kwa nchi yenye mtazamo huu itafwata ushauri wako kweli?
Tatizo siyo kununua/kuwekeza kwenye Bitcoin au Blockchain la hasha Bali Tunajua au tunauwezo wa Kuogelea kwenye Kina kirefu......????
 
Back
Top Bottom