Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Asante mkuu, hawa ramitano ni kampuni ipo hapa Dar? najisajili online au ni physically?
 
Na ubaya wallet zinazo support kupeleka katika tsh ni chache pia tumia google kutafuta ila ukiipata share na wazoefu maana wangine wanakua matapeli zinakua sio kampuni za kweli.

Hiyo ramitano hata mimi naitumia wako poa japo unaweza tafuta na wengine wenye competitions katika rate za kubadili.
Asante mkuu, hawa ramitano ni kampuni ipo hapa Dar? najisajili online au ni physically?
 
Asante mkuu!
 
Ivi Tanzania kwa mfano uta withdraw vipi mpunga wako wakati BOT hawatambui
 
Ivi Tanzania kwa mfano uta withdraw vipi mpunga wako wakati BOT hawatambui
Ndo maana itakulazimu uibadili hiyo pesa ije katika mfumo unao tambulika iwe dollar au Tsh ili uweze kuitoa

Bank zote duniani bado hazijaitambua kama ni pesa hivyo wengi wanaonunu hii fedha huinunua kama madini tu....ikipanda thamani wanaiuza pia kama bidhaa na kupata pesa inayotambulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…