Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apana,cjihusishi na kampuni yoyote,bt nadhani ilisha kufa.Kiongozi hii bitcoin advatage ipo au ilikufa?
Kitakachofuatia Ni kuzikwaSasa kiongozi hizo bitcoin zikifa itakuwaje?
No,this is technology, hawez kufa ,Sasa kiongozi hizo bitcoin zikifa itakuwaje?
Unaweza kuanza na kiasi kdg cha hela ,(money rising) but lazma uwe na elimu ya kutosha ,then uanze kaz rasmiHaya mambo hata siyaelewi Ila nataman kuyajaribu .mtaji wake naanzia na Kama shingapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Isije kua Kama q netUnaweza kuanza na kiasi kdg cha hela ,(money rising) but lazma uwe na elimu ya kutosha ,then uanze kaz rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Apana,hatu jihusishi na kampuni yoyote,tuna deal na cryptocurrency business tu.
Office iko wapiApana,hatu jihusishi na kampuni yoyote,tuna deal na cryptocurrency business tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha majibu ya ngebe kijana..nilidhani una kitu utaelewa kumbe unamangangamanga tu juu ya hii technology adhimu. Unadhani unaijua Cryptocurrency vizuri kuzidi team ya financial advisor wa bill gate? Iliyomshauri awekeze mamilion kwenye Bitcoin? Na other altcoins?
Punde nitaandika hapa kidogo simple but informative kuihusu Bitcoin achana na maessay yako ya kizamani marefu kama tamthilia ya isidingo.
Nimepitia makala zako nyingi yenye replies nyingi ni 69 zingine zote hazifiki reply 20. Kwanini unaandika kizamani wewe kocha sijui kocha wa timu gani? Ukitaka kuandika makala ndefu jifunze skills and techniques za modern writings zenye kuvutia na kuchochea hamu ya kuendelea kusoma article kuna watu kibao hapa bongo wanaondika makala simple zenye namna ya kukufanya uendelee kusoma andishi husika hadi mwisho bila kujalisha content ikoje. Kocha ukiendelea kuandika kama mwandishi wa Rai au Mzalendo ya mwaka 47 utajikuta unasoma na kujijibu mwenyewe thread zako hapa JF maana you don't fit in this Era readers world.