Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Asante mkuu, nimeona pinduoduo kuna controller zinauzwa za X one maalumu kwa ajili ya laptop, ila zinakuwa na kitu kama flash disk pamoja, ndio hiyo driver unaongelea?
Flash disk ina maana ni za kizamani hizo za Xbox 360, sio mbaya kama unazipata kwa bei nzuri ila Pad mpya karibia zote hazitumiki wifi (Hicho kiflash) bali zinatumia Bluetooth.
 
Sema pinduo naona kunanichanganya sana, Controller ni nyingi sana na tofauti ya bei ni kubwa sana sana, hata sijui nichague ipi
Xbox mkuu iwe priority yako, haitakusumbua hasa kama hutaki kutinker tinker na pc yako. Na zinatofautiana bei kutokana na generation mfano xbox 360 ni. Console ya miaka 19 iliopita so controller zake nazo za kizamani sana that's why ni. Rahisi nimeona pinduo hadi 5000 unapata, probably fake ila kama budget ndogo sio mbaya kwa controller ambayo ni plug and play.
 
1000089260.jpg
hiyo ni pc usd 700.

Inacheza kila gane.
 
Back
Top Bottom