Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Mkuu unasema kupata desktop yenye sifa hizo ni laki 1 na hamsini mpaka na 70? Au mi sijaelewa? Na je hizo card huwa zinapatikana kwa bei gani?
 
Na naomba kuuliza je inawezekana kubadirisha processor ya laptop?
 
Mkuu unasema kupata desktop yenye sifa hizo ni laki 1 na hamsini mpaka na 70? Au mi sijaelewa? Na je hizo card huwa zinapatikana kwa bei gani?
uzi wa zamani sana mkuu, kwa around 180,000 sasa hivi unapata mashine ya pentium gen ya 2 mpaka ya 6 ambayo kwa baadae unaweza kui upgrade. na card zinauzwa ghali sana, ni almost impossible kuzipata kwa bei chini ya mara 3 ya bei halisi, watu wananunua gpu zote na kuchimbia bitcoins ama cryptocurrency zengine.
 
Mkuu hp probook 650 g1, i5-4310m intel hd graphics 4600 2.7ghz naweza kucheza euro truck 1.46?? Na gta 5
Ndio unacheza mkuu gen ya 4 hio, gpu Hd 4600.

Sema Gta 5 utacheza kwa Quality ndogo kama 480P hivi.
 
Nauliza namna ya kupata hizi game hasa za fifa maana kila nikitafuta kwenye torrents sipati au kuna watu wanauza "cracked one" tofauti na kununua online .
 
Mkuu wanao hack hizi games ni warusi, moja ya sababu huoni Crack sana siku hizi ni kwamba ipo njia ya kuzipata hizi games kwa Bei rahisi kupitia Xbox Games pass Ultimate. FIFA 21 NA 22 zote zipo, pengine 23 nayo ikawekwa soon.

Gamepass kikawaida ni kama 30,000 kwa mwezi, unapata games kama 100 hivi bure unadownload na kucheza, muda ukiisha hazifanyi kazi mpaka ununue tena.

Sema kuna Account za magumashi online za Free trial, unanunua key unacheza.

Mfano kama hii nusu dola kwa mwezi

Hivyo ndo watu wanavyoishi siku hizi, hapo unapata access ya kila kitu mpaka Ultimate team, wewe na Bundle lako tu.

Pia kama unataka ya Long term ilikuwepo offer ya $55 kwa miaka 3 kama una hela, sema walikuwa wakitumia Vpn za Uturuki sina uhakika lakini kama bado ipo.
 
Naomba zile passward wanazohitajikwe EURO TRACK nimechoka kucheza demo

Mkuu chief
 
weka crack huwezi weka key yeyote then ikafañya kazi.

nenda torrents site yeyote then search euro truck crack download.
huwa ni file ndogo tu hazizidi mb 400.
.then utaenda kupest kwenye folder la game.
 
Mkuu wanao hack hizi games ni warusi, moja ya sababu huoni Crack sana siku hizi ni kwamba ipo njia ya kuzipata hizi games kwa Bei rahisi kupitia Xbox Games pass Ultimate. FIFA 21 NA 22 zote zipo, pengine 23 nayo ikawekwa soon.

Gamepass kikawaida ni kama 30,000 kwa mwezi, unapata games kama 100 hivi bure unadownload na kucheza, muda ukiisha hazifanyi kazi mpaka ununue tena.

Sema kuna Account za magumashi online za Free trial, unanunua key unacheza.

Mfano kama hii nusu dola kwa mwezi

Hivyo ndo watu wanavyoishi siku hizi, hapo unapata access ya kila kitu mpaka Ultimate team, wewe na Bundle lako tu.

Pia kama unataka ya Long term ilikuwepo offer ya $55 kwa miaka 3 kama una hela, sema walikuwa wakitumia Vpn za Uturuki sina uhakika lakini kama bado ipo.
Mkuu nimejalibu kununua ila kwenye kuweka key naona kwangu tatizo game pass ya pc
 
Back
Top Bottom