acontinuer
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 241
- 246
Unaweza weka link ulionunulia mkuu nikuchekie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza weka link ulionunulia mkuu nikuchekie?
Hawajaandika Nchi mkuu so na assume ni USA.
Nikiweka inanipa option ya kuadd cardsHawajaandika Nchi mkuu so na assume ni USA.
Tafuta vpn yoyote ya browser kama Firefox install kisha tengeneza Account ya Hotmail/live/outlook kama upo Usa, kisha login kwenye Xbox fuata maelekezo ku redeem hio code yako
Eka tu Card ya Mpesa isio na kitu. Ukimaliza subscription yako una cancel.Nikiweka inanipa option ya kuadd cards View attachment 2659207
Imekubali mkuu thanksEka tu Card ya Mpesa isio na kitu. Ukimaliza subscription yako una cancel.
Sema mda mwengine tafuta trial ya miezi 2 ama 3, unakaa nayo kidogo, hio faster itaisha. Ukumbuke pia kutokueka hela kwenye Kadi.Imekubali mkuu thanks
Asante sana mkuu Ubarikiwe sanaNimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.
Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
![]()
Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.
Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.
Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.
Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links
Ocean of Games
Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi
-direct x zote
Download hapa ni web installer - Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center
-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
Sawa, kutokuweka pesa kwenye kadi ya mpesa?Sema mda mwengine tafuta trial ya miezi 2 ama 3, unakaa nayo kidogo, hio faster itaisha. Ukumbuke pia kutokueka hela kwenye Kadi.
Ya 2005 ile,,Zaidi ya Need for Speed Most wanted sijawahi penda game yeyote kwenye PC. Au ile ya the tomb of montenezuma
Ndio sababu ukijisahau tu wanakata 30,000 ukirenew. Trial ikiisha cancel kwanza ile subscription yakoSawa, kutokuweka pesa kwenye kadi ya mpesa?
Sawa mkuuNdio sababu ukijisahau tu wanakata 30,000 ukirenew. Trial ikiisha cancel kwanza ile subscription yako
Maana leo nimeiona £1.80 kwa mienzi mitatu location Singapore itanibidi tumie VPN ya SingaporeNdio sababu ukijisahau tu wanakata 30,000 ukirenew. Trial ikiisha cancel kwanza ile subscription yako
Ndio mkuu, siku hizi ndio watu wanavyoishi, Mambo ya Crack sio sana.Maana leo nimeiona £1.80 kwa mienzi mitatu location Singapore itanibidi tumie VPN ya Singapore
Poa poa umeniweka sawa mkuu thanksNdio mkuu, siku hizi ndio watu wanavyoishi, Mambo ya Crack sio sana.
Mkuu Chief-Mkwawa nahitaji kuanza kucheza game za laptop kwa kutumia controller, Ni controller gani nzuri zinahitajika? napenda games za racing na za kivita kama PUBG.hapana haiwezi ila core 2 quad inaweza zipo za q8400 kwa chini ya laki 2 au around 270,000 na monitor yake lakini utahitaji graphics card hivyo andaa laki 1 au 2 tena kwa ajili ya hi gpu.
Bila kujali budget Controller za Xbox one ni nzuri zaidi, zinakua wireless kwa Bluetooth, na zina support games zote native, huhitaji kuweka software yoyote. Bei ni 100K+ mpya na around 70K mtumba. Kama budget haifiki huku around 30K unaweza pata za Xbox 360 za waya.Mkuu Chief-Mkwawa nahitaji kuanza kucheza game za laptop kwa kutumia controller, Ni controller gani nzuri zinahitajika? napenda games za racing na za kivita kama PUBG.
Asante mkuu, nimeona pinduoduo kuna controller zinauzwa za X one maalumu kwa ajili ya laptop, ila zinakuwa na kitu kama flash disk pamoja, ndio hiyo driver unaongelea?Bila kujali budget Controller za Xbox one ni nzuri zaidi, zinakua wireless kwa Bluetooth, na zina support games zote native, huhitaji kuweka software yoyote. Bei ni 100K+ mpya na around 70K mtumba. Kama budget haifiki huku around 30K unaweza pata za Xbox 360 za waya.
Kwa budget ndogo controller ambazo ni both wireless/waya ni ya ps3, hadi 15,000 unaipata, sema hii sio plug and play utahitaji uweke drivers.
Sema pinduo naona kunanichanganya sana, Controller ni nyingi sana na tofauti ya bei ni kubwa sana sana, hata sijui nichague ipiBila kujali budget Controller za Xbox one ni nzuri zaidi, zinakua wireless kwa Bluetooth, na zina support games zote native, huhitaji kuweka software yoyote. Bei ni 100K+ mpya na around 70K mtumba. Kama budget haifiki huku around 30K unaweza pata za Xbox 360 za waya.
Kwa budget ndogo controller ambazo ni both wireless/waya ni ya ps3, hadi 15,000 unaipata, sema hii sio plug and play utahitaji uweke drivers.