latino chopa
Member
- Oct 19, 2016
- 60
- 32
Jaman hzo sjui core i2, i6 unaangalia vp kwenye kompyuta mm natumia tu lkn sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonyeza properties kwenye my computerJaman hzo sjui core i2, i6 unaangalia vp kwenye kompyuta mm natumia tu lkn sijui
poa nitatafua mashine yenye 2 quad q6660hapana haiwezi, ila core 2 quad inaweza ambayo bei zake ni humo around 150,000 hadi 200,000, pia i5 2nd gen now zinapatikana 250,000 sio mbaya kuongeza kidogo, na i5 za 2nd gen motherboard zake nyingi zinakubali na 3rd gen cpu hivyo ni future proof.
hapana haiwezi, ila core 2 quad inaweza ambayo bei zake ni humo around 150,000 hadi 200,000, pia i5 2nd gen now zinapatikana 250,000 sio mbaya kuongeza kidogo, na i5 za 2nd gen motherboard zake nyingi zinakubali na 3rd gen cpu hivyo ni future proof.
kuna games/software za single thread na multithread.
Kuna games zinachagua either 32 or 64 bit OS, Had the same problems ku-install NFS HP2, I had to change file nkadownload upya, Chamsingi udownload game linaloendana na mode ya OS ya pc yako.Mi IT kidogo inanipiga chenga
Maana na download game kwanza inasave kwenye file linaitwa dowloads
Then nikifungu huko inafungua na program inaitwa WINRAR baada ya kuclik inaanza kudownload inafika mahalili napata msg 'CAN NOT START OR RUN DUE TO INCOMPATIBITY WITH 64-BIT VERSIONS OF WINDOW'na mimi natumia
ASUS X540LA-WS51 15.6" Ultra Slim Full HD Notebook i5-5200U 8GB 1TB Win10 Laptop
Naukumbuka computer za nyuma kunasehem kwenye contol panel unaweza change iwe 32 or 64 bit,hii sioni pakubadilishia
nisaidie hapo
asante mkuuKuna games zinachagua either 32 or 64 bit OS, Had the same problems ku-install NFS HP2, I had to change file nkadownload upya, Chamsingi udownload game linaloendana na mode ya OS ya pc yako.
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.
Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
![]()
Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.
Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.
Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.
Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links
Ocean of Games
Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi
-direct x zote
Download hapa ni web installer - Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center
-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
Heshima yako Chief Mkwawa, naomba msaada wa kunielkeza ni wapi naweza pata gaming desktop(cpu only) kwa bei nzuri, kama ulivyotaja hapoNimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.
Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
![]()
Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.
Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.
Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.
Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links
Ocean of Games
Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi
-direct x zote
Download hapa ni web installer - Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center
-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
Heshima yako Chief Mkwawa, naomba msaada wa kunielkeza ni wapi naweza pata gaming desktop(cpu only) kwa bei nzuri, kama ulivyotaja hapo
mkuu vp,kama una kink ya kudownload NEED FOR SPEED MOST WANTED naomba nisaidieZaidi ya Need for Speed Most wanted sijawahi penda game yeyote kwenye PC. Au ile ya the tomb of montenezuma
Dual core cpu clocked@2.0ghzHivi wakuu ili nicheze game la euro truck 2 natakiwa nipate walau pc yenye sifa zipi?
Inauzwaje hii feni ya njee mkuu?laptop kuheat ni kawaida mkuu, angalia tu feni liwe mahala wazi, mfano kama lipo chini hakikisha laptop haigusi chini iekee vitu kama mbao au stand yoyote isiguse yote chini ili feni lifanye kazi vizuri, pia kama una hela inunulie feni la nje lile unalieka chini then laptop inakuja juu
![]()
Ngumu mkuu, Engine ya hizi FIFA za kisasa ni nzito Sana.Mkuu, natumia HP core i5 kwa specifications hizo hapo. Nimefuzu kweli kuweka na kucheza games kama fifa 18 kwenda mbele. Au washauri nini mkuu?
Core i5 - 3337U, CPU 1.80GHz, RAM - 4GB, 64 - bitView attachment 1150254
Yanakuwa Bei rahisi Kama 10k ama 20K hivi.Inauzwaje hii feni ya njee mkuu?
Kuchezeka kiasi kwamba litakuwa linastuck mkuu au? ... nifanyeje mkuu ili angalau nami nipate raha ya kucheza game asee.Ngumu mkuu, Engine ya hizi FIFA za kisasa ni nzito Sana.
Ila unaweza ukaforce kibishi bishi kwa kupunguza resolution Hadi 800x480 linaweza kuchezeka kiasi.
Ebwana daah ni shidaZaidi ya Need for Speed Most wanted sijawahi penda game yeyote kwenye PC. Au ile ya the tomb of montenezuma