Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Chief kaka hizi pc zenye cpu ya intel hd 4600 used za 400-600 naweza zipata wap maaana nimehangaika kuztafuta sehem nyingi nimezkosa kaka,naomba msaada wako wa kwa kuzipata
 
Naombn msaada jmn nimepewa pes 2016 lkn kila niki install inafka 42.2% ina goma nifanyaje
 
hio sio bei sana ndio ipi? pc ya bei rahisi inayoweza kucheza hizo games atleast gpu yake iwe intel hd 4600,hizi unazipata around 400,000 hadi 600,000 hivi used. cpu kama hizi zina hd 4600

i3 400m
i3 4100m
i5 4200m
i5 4300m
i7 4600m
i7 4700mq
i7 4700hq

cheki kupatana, kaymu, jumia etc
Mkuu chief mkwawa pc angu ni hp probook 450 g2 5200U......je cpu yake ni aina gan ktk hizo ulizotaja?
 
Mkuu chief mkwawa pc angu ni hp probook 450 g2 5200U......je cpu yake ni aina gan ktk hizo ulizotaja?

cpu ni nzuri mkuu, ni i5 generation ya tano, utarun games nyingi tu.

hapo oceanofgames umekwama wapi?
 
b301ca13f92ad529a80e0289eb10e433.jpg
 
Chief hko ndo kinanisumbua yan imekataa tena daah
hilo file lime corupt sababu error hio inatokea unapo extract file, hapo hata kuinstall halijaanza ndo kwanza lina unpack?

unga kifurushi cha usiku kama cha airtel au halotel download fasta fasta ucheze, mi huwa siamini hivyo vitu vya kupewa
 
Ok pw thnks
 
Back
Top Bottom