Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Kwa hii pc uliyo izungumzia hapa inaweza kucheza gta v.?
hapana haiwezi ila core 2 quad inaweza zipo za q8400 kwa chini ya laki 2 au around 270,000 na monitor yake lakini utahitaji graphics card hivyo andaa laki 1 au 2 tena kwa ajili ya hi gpu.
 
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.

Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.

Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
U6zl0ag.png

Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.

Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.

Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.

Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links

Ocean of Games

Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi

-direct x zote
Download hapa ni web installer - https://www.microsoft.com/en-us/download/details.aspx?id=35

-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center

-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003

Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
Kwa hiyo mkuu ilimladi napenda kucheza game kwenye PC yangu sharti ni download hizo zote softwares kwenye PC yangu?
 
Kwa hiyo mkuu ilimladi napenda kucheza game kwenye PC yangu sharti ni download hizo zote softwares kwenye PC yangu?
mkuu hizo ni dependence za game kama game halifunguki linaleta error kama mcv100.dll is missing ujue utakuwa unamiss moja ya hizo software.
 
Hiv km pc yako haina vigezo ambavyo game fulan inayoo naweza kuicheza pia mfanoo

Game inataka processor 2. 6 afu yangu n 2. Inakuaje hapoo
 
Hiv km pc yako haina vigezo ambavyo game fulan inayoo naweza kuicheza pia mfanoo

Game inataka processor 2. 6 afu yangu n 2. Inakuaje hapoo
ghz hazina maana kama unafananisha architechture tofauti. mfano skylake processor ya 2ghz ina speed kubwa kushinda hata 4ghz ya core 2 duo.

hivyo hapo inabidi uangalie
1. hilo game linataka 2.6ghz ya processor ipi
2. computer yako ina 2ghz ya processor ipi

halafu unafanya comparison ndio utajua.

kama processor yako haijakidhi vigezo game litakuwa slow
 
Back
Top Bottom