Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka ya kufanyia nini? budget hio pamoja na monitor, keyboard na mouse unapata mashine ya core 2 duo au core 2 quadCHIEF MKWAWA samahani unaweza nina 270 nielekeze ninunue desktop gani ya ukweli hapa na monitor ya ukweli ,key bord ya ukweli pia na mouse ya ukweli just funguka tu kaka nipe specs bro nifanye yangu baba kisha nilete mrejesho mkuu.
Search for 'F1' torrents - Page 1 - ExtraTorrent.cc The World's Largest BitTorrent SystemWadau..game ya formula 1 2015 au 2016 ntapata wapi...
Tnx in advance
hilo game halina folder limeandikwa crack? linakuwa kwenye setup ya game au hata linaweza kuandikwa jina jengine. ndani yake utakuta mafile mawili yameandikwa steam kayapaste kwenye folder ambalo game limekuwa installedChief nimedownload C O D black ops 1 ikagoma play inasema steam must be running to play this game nnatumia hp 4gb ram i3
jaribu kuchomeka kwenye deki, tv, simu au kifaa chengine tofauti na pc uone kama itafungukaNina flash yangu tangia jana inasumbua. Ukiichomeka kweny pc, haisomi hata ukienda kweny my computer haionekani. Lkn kipind naichomeka inatoa mlio na taa inawaka lkn haionekani. Nimejaribu kuchomoa na kuweka tena na tena lkn bado tu iko vile vile
Je, inaweza kutengenezeka yaan ikasoma km mwanzo?
Nnatatzo kama hilo na yangu inasoma kwenye radio. Mwanzo ilikuwa haifomatiki inaandika write protected nikajaribu kuiondoa ikashindikana sasa juz ndo imegoma kabisa ni sandisk 64 gbNina flash yangu tangia jana inasumbua. Ukiichomeka kweny pc, haisomi hata ukienda kweny my computer haionekani. Lkn kipind naichomeka inatoa mlio na taa inawaka lkn haionekani. Nimejaribu kuchomoa na kuweka tena na tena lkn bado tu iko vile vile
Je, inaweza kutengenezeka yaan ikasoma km mwanzo?
Chief mkwawa kwa jinsi ulivyoshauri, hii pc yenye specifications hizi unaweza kuipata kwa bei gani?Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.
Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
![]()
Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.
Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.
Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.
Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links
Ocean of Games
Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi
-direct x zote
Download hapa ni web installer - https://www.microsoft.com/en-us/download/details.aspx?id=35
-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center
-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
tafuta fifa la 2014 na lipo kwenye hio websiteProcessor=intel(R) celeron(R) cpu 1000M @1.8GHz
RAM 2GB
Bit 64
Je mkuu naweza cheza game la fifa?? Na kwenye ile website yapo??
pc ipi? kama ni ya kwenye thread si nimeandika bei hapo juuChief mkwawa kwa jinsi ulivyoshauri, hii pc yenye specifications hizi unaweza kuipata kwa bei gani?
Asante mkuupc ipi? kama ni ya kwenye thread si nimeandika bei hapo juu
Hiyo CPU naitaka, nitaipataje niko Geita?pc ipi? kama ni ya kwenye thread si nimeandika bei hapo juu
Hii gta 5 pc yako ina specs gan nijue kama na mm itacheza kwanguWewe tuu
wasiliana nao discountkubwa sasa hivi naona wanayo i5 kwa 255,000 kama ni games unazopenda ni vyema uchukue hioHiyo CPU naitaka, nitaipataje niko Geita?