Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Mkuu nna dell laptop intel (R) core i5-2450M cpu @2.5ghz ram 8gb bt nkiRun need for speed most wanted game 2012 pc inaoverheat mbaka naogopaaa what could be the problem?? Chief-Mkwawa
 
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.

Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.

Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
U6zl0ag.png

Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.

Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.

Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.

Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links

Ocean of Games

Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi

-direct x zote
Download hapa ni web installer - https://www.microsoft.com/en-us/download/details.aspx?id=35

-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center

-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003

Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
SINA UZOEFU SANA NA COMPUTA ...
LAPTOP YANGU NI DELL INSPIRION 14
Rating 1.0 window experience index
procesor : intel(R) celeron(R) CPU 1007U@ 1.50GHz
Instailled (RAM): 2GB (usable 1.89GB)
system type: 32-bit operating system
NAWEZA CHEZA GAME GAN LA MAGARI NA MENGINEO MAANA HAPA NIMEJARIBU GTA IV INAGOMA INANIAMBIA
ROCK STAR GAMES SOCIAL CLUB NOT INSTAILLED
SASA MM SIELEW KITU NAOMBA MUONGOZO KWAKUZINGATIA HAYOO MAELEZO HAPO
Asante sana chief kwa elimu ya bure...hii itawasaidia wale wapenzi wa Pc games..
 
Mkuu nna dell laptop intel (R) core i5-2450M cpu @2.5ghz ram 8gb bt nkiRun need for speed most wanted game 2012 pc inaoverheat mbaka naogopaaa what could be the problem?? Chief-Mkwawa
laptop kuheat ni kawaida mkuu, angalia tu feni liwe mahala wazi, mfano kama lipo chini hakikisha laptop haigusi chini iekee vitu kama mbao au stand yoyote isiguse yote chini ili feni lifanye kazi vizuri, pia kama una hela inunulie feni la nje lile unalieka chini then laptop inakuja juu
1073-h_main-w.png
 
SINA UZOEFU SANA NA COMPUTA ...
LAPTOP YANGU NI DELL INSPIRION 14
Rating 1.0 window experience index
procesor : intel(R) celeron(R) CPU 1007U@ 1.50GHz
Instailled (RAM): 2GB (usable 1.89GB)
system type: 32-bit operating system
NAWEZA CHEZA GAME GAN LA MAGARI NA MENGINEO MAANA HAPA NIMEJARIBU GTA IV INAGOMA INANIAMBIA
ROCK STAR GAMES SOCIAL CLUB NOT INSTAILLED
SASA MM SIELEW KITU NAOMBA MUONGOZO KWAKUZINGATIA HAYOO MAELEZO HAPO

cha kwanza hapo mkuu huna driver hio windows experience rating inamaanisha kuna kitu kina score ya 1 ambayo ni ngumu kutokea mpaka uwe huna driver.

cpu yako haina nguvu sana lakini pia sio dhaifu itacheza games nyingi nyingi tu.

download driver hapa
Download Intel® Graphics Driver for Windows® 10 and Windows 7*/8.1* [15.33]

ukishadownload, install halafu nenda experience rating ten refresh score, kama zitaongezeka rudi nitakuekea list ya games za magari unazoweza kucheza
 
laptop kuheat ni kawaida mkuu, angalia tu feni liwe mahala wazi, mfano kama lipo chini hakikisha laptop haigusi chini iekee vitu kama mbao au stand yoyote isiguse yote chini ili feni lifanye kazi vizuri, pia kama una hela inunulie feni la nje lile unalieka chini then laptop inakuja juu
1073-h_main-w.png
Hope could be helpfull thanks mkuu
 
Ivi fifa 15 unaeza cheza bila origin?? Maana nimedownload imegoma ku install adi origin iwepo
 
Naweza pata wapi fifa 16 mwanza,na gta V kama kuna mtu analo anishtue niko tayari hata kutoa mchango kidogo akiitaji, kuliko kuanza kuhangahika kudownload.
 
Naweza pata wapi fifa 16 mwanza,na gta V kama kuna mtu analo anishtue niko tayari hata kutoa mchango kidogo akiitaji, kuliko kuanza kuhangahika kudownload.

unga bundle ya usiku halafu download, kama hilo fifa hata sio kubwa sana usiku mmoja tu linaisha. tumia hio site nilioeka kwenye thread
 
Samahani natoka nje kidogo ya mada
Ivi naweza kupata game za kucheza kwenye tv?? Je nahitaji nipate kitu gani ili kuweza kufanya ivo??
 
Samahani natoka nje kidogo ya mada
Ivi naweza kupata game za kucheza kwenye tv?? Je nahitaji nipate kitu gani ili kuweza kufanya ivo??
game hilo hilo la laptop au simu ndio unaweza liona kwenye tv angalia tu connection za tv na computer yako au simu.

mfano kama tv ina hdmi na laptop ina hdmi nunua waya wa hdmi halafu connect utaona kwenye tv
 
Kaka chief kwema? Samahani nna shida naomba msaada wako,Ninunue pc gan nzuri ambayo sio bei sana itakayoweza kucheza fifa16 au fifa17 vizuri na game zingine kali kama COD black ops 3 ??
 
Kaka chief kwema? Samahani nna shida naomba msaada wako,Ninunue pc gan nzuri ambayo sio bei sana itakayoweza kucheza fifa16 au fifa17 vizuri na game zingine kali kama COD black ops 3 ??
hio sio bei sana ndio ipi? pc ya bei rahisi inayoweza kucheza hizo games atleast gpu yake iwe intel hd 4600,hizi unazipata around 400,000 hadi 600,000 hivi used. cpu kama hizi zina hd 4600

i3 400m
i3 4100m
i5 4200m
i5 4300m
i7 4600m
i7 4700mq
i7 4700hq

cheki kupatana, kaymu, jumia etc
 
Thanks much bro nmekuelewa [emoji106] [emoji106]

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
 
Ndugu chief mm nilidownld PES 2016 lkn kila nikifungua inanidai password na nmejarb kutafuta mtandaon nimeshndwa naomba mnisaidie kwa njia yeyote kwa anaefaham
 
Ndugu chief mm nilidownld PES 2016 lkn kila nikifungua inanidai password na nmejarb kutafuta mtandaon nimeshndwa naomba mnisaidie kwa njia yeyote kwa anaefaham
umelidownload wapi? tumia hio site hapo juu oceanofgames,

kama unataka password rudi ulipodownloadia utaikuta
 
Back
Top Bottom