Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #101
unadownload kwa kutumia nini? idm, firefox, chrome etcmm nadownload but sijui insave wapi
mkuu msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unadownload kwa kutumia nini? idm, firefox, chrome etcmm nadownload but sijui insave wapi
mkuu msaada
natumia chromeunadownload kwa kutumia nini? idm, firefox, chrome etc
Ndugu chief mm nilidownld PES 2016 lkn kila nikifungua inanidai password na nmejarb kutafuta mtandaon nimeshndwa naomba mnisaidie kwa njia yeyote kwa anaefaham
Napata shida jinsi ya ku play pes 16 online... Hii kitu inakuaje naomba msaada ..... Maana nacheza na watu ambao nawafunga sana sasa natafuta competition online plz help me.
Daah nashkr umenifungua nishapoteza gb nying sana saiv nme give up nacheza pes yang ya 2004 kiroho sayona tu na zidane wanguUsijali kabisa kudownload file lolote la muvi au game ambalo linaonesha kutaka password hapo baadae, mara nyingi haya ma-file hayafunguki au watakulazimisha uingie kwenye website fulani ununue kitu ndio wakupe password, sometym ni fraud website ambazo wanataka tu kukupotezea mb zako.
Ukiona file linahitaji password alafu wanasema lipo kwenye torrent, usi-download vema utafute lingine.Njia rahisi Ya kujua ni kwenda kwenye comment section Ya hilo file wakati huja download kwenye website, utaona wenzako waliodowload wanasema nini, kama zuri au la n.k nimeshapoteza mpaka 20gb kwenye hayo mambo.
Mara nyingi ma-file ya namna hii huwa ni yale ambayo ni compressed kupita kiasi, mfano, utaona game kama titanfall kila torrent ina 50gb alafu kuna moja anapost torrent yake ina 8gb
jaribu kurun kwa compability, right click game nenda properties halafu chagua compability then eka sp3 windows xp uone kama itasaidianatumia chrome
nimetest kudownload game moja inaitwa IGI 3
BAADA YA KUINSTALL napata msg hii,THE PROGRAM OR FEATURE CANNOT START DUE TO INCOMPATIBITY WITH 64-BIT VERSION OF WINDOWS,PLS CONTACT VENDOR TO ASK IF A 64-BIT WINDOWS COMPATIBLE IS AVAILABLE.
Mimi natumia ASUS WINDOW 10,CORE i5
nifanyaje mkuu
taja hio range ya bei yako na unataka laptop au desktop? used au mpya?Pc gan inaweza kurun fifa 16 vzur bila matatizo? Nashida nayo natafuta the less cheap, bei isiwe expensive sana
Em lete uzi wa core i 7Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.
Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
![]()
Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.
Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.
Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.
Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links
Ocean of Games
Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi
-direct x zote
Download hapa ni web installer - Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center
-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.

wa vp yani, sijaelewaEm lete uzi wa core i 7
Mkuu mimi kidogo nipo nje ya mada wewe unauelewa maduka mengi ya vifaa vya simu nimetafuta sana Islack nimekosa hivi unaweza nielekeza duka lolote ambalo wanauza hiki kifaa mkuu samahani kwa usumbufutaja hio range ya bei yako na unataka laptop au desktop? used au mpya?
Laptop sana sana Hp nna 350k mwsho sana naweza kujchanga 400k...kwa io bei naweza pata mpya?taja hio range ya bei yako na unataka laptop au desktop? used au mpya?
huwezi change iwe 32 bit au 64 bit bila kupiga upya windows, na kama kweli una 32bit ni upotevu wa resource, 32bit ina uwezo wa kutumia ram chini ya 4gb na oc yako ina 8gb inamaana zaidi ya 4gb haitumiki.Mi IT kidogo inanipiga chenga
Maana na download game kwanza inasave kwenye file linaitwa dowloads
Then nikifungu huko inafungua na program inaitwa WINRAR baada ya kuclik inaanza kudownload inafika mahalili napata msg 'CAN NOT START OR RUN DUE TO INCOMPATIBITY WITH 64-BIT VERSIONS OF WINDOW'na mimi natumia
ASUS X540LA-WS51 15.6" Ultra Slim Full HD Notebook i5-5200U 8GB 1TB Win10 Laptop
Naukumbuka computer za nyuma kunasehem kwenye contol panel unaweza change iwe 32 or 64 bit,hii sioni pakubadilishia
nisaidie hapo
mkuu huwezi pata laptop mpya ya fifa 16 kwa bei hio,Laptop sana sana Hp nna 350k mwsho sana naweza kujchanga 400k...kwa io bei naweza pata mpya?
Hp ProBook 450 au Hp ProBook 640 vp izi?mkuu huwezi pata laptop mpya ya fifa 16 kwa bei hio,
na used yenyewe budget ni tight sana, unaweza ukapata ila usieke matumaini sana.
ideal laptop hapo ni 4th generation intel, ukikosa kabisa ni 3rd generation pitia hii thread kujua generation
Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel
bila kujua processor zake siwezi sema kitu,
kuna jamaa aliku anataka mashine ili acheze GTA 5 sasa chief mashine yenye CPU ya 2 duo E8400 alafu ikitafutiwa RAM ya kutosha na GPU ya maana si itakua inauwezo wa kusukuma GTA5 kwa low hadi kwa medium bila ganda gandaNimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games kwa bei rahisi
Ni ngumu kwa tanzania kupata desktop/laptop ambayo ina cpu yenye nguvu kuhandle games. nilitafuta solution hii mpaka mwisho nikaamua kutumia hizi hizi core 2 duo. nilitafuta best core 2 duo ambazo perfomance yake inasameheka na kwa tz nikaipata E8400, zipo maduka mengi.
Processor hii inahandle dolphin emulator kwa 60fps hivyo inauwezo wa kuhandle almost game yoyote ile kwa low setting hadi medium.
![]()
Kama unavyoona kwenye picha unapata full 60fps huku cpu ikiwa imetumika 69% tu.
Hivyo kama unataka gaming desktop kwa bei rahisi nashauri kuchukua machine hii ya core 2 duo e8400, specs zake nyengine ni kama 2gb ram na 160gb hdd. bei zake ni around 150,000 hadi 170,000 shilings.
Machine hii haina graphics card hivyo itabidi utafute low level card ili kuiboost gaming perfomance. sijui hata zinapatikana wapi hapa tz.
Mahala pa kudownload games
Njia rahisi kabisa ya kudownload games ni kutumia website ya oceangames ambayo wanatoa direct links
Ocean of Games
Solution kwa games zisizofanya kazi
Kama wewe unapenda games kabla hujaeka game lolote make sure una vitu hivi
-direct x zote
Download hapa ni web installer - Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
-.net framework 4.5 na 3.5
Download 4.5 hapa-Download Microsoft .NET Framework 4.5 from Official Microsoft Download Center
Download 3.5 hapa - Download Microsoft .NET Framework 3.5 from Official Microsoft Download Center
-redistributal c++
zipo nyingi hizi download zote au zinazohitajika na gamwe lako
https://support.microsoft.com/en-us/kb/2977003
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
hapana haiwezi, ila core 2 quad inaweza ambayo bei zake ni humo around 150,000 hadi 200,000, pia i5 2nd gen now zinapatikana 250,000 sio mbaya kuongeza kidogo, na i5 za 2nd gen motherboard zake nyingi zinakubali na 3rd gen cpu hivyo ni future proof.kuna jamaa aliku anataka mashine ili acheze GTA 5 sasa chief mashine yenye CPU ya 2 duo E8400 alafu ikitafutiwa RAM ya kutosha na GPU ya maana si itakua inauwezo wa kusukuma GTA5 kwa low hadi kwa medium bila ganda ganda